Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Mbona king'amuzi changu cha *times kinapiga kazi vizuri tu? Kilikuwa kinazingua nikaweka antenna ndefu ya nje.

Mmesha wasahau GTV nin??.Nao walianza kwa stail kama zao mara lipia miez 6 mara mwaka.Uliza kilicho fuata baada ya hapo .....Kwanza hata nikishika remot yao huwa nawakumbuka kabisa GTV maana zimefanana kila kitu.

Mambo yooote hamieni "Easy tv" hakuna matata ni kwa sh 10000/-mwezi na decorder ni sh 140,000/- Acha kulalamika fanya maamuzi magumu mkuu.

Je "Easy Tv" inapatikana mikoa mingine zaidi ya Dar? Je ina Channel za bongo, Soka(Uk,spain,Uefa), Movies, Science? Tafadhalini mnaojua vema tunaomba mtujuze maana wengine tupo mikoani.

Pole sana dada,

Wajua watu wengine hawajui kwamba wanapoongea na mtoto mzuri kama wewe inabidi lugha iwe laini kidogo!!
hahahaaaaa....hahahaa nimefurah sana. Ngoja tuanze kuweka picha zetu ndo utajua.

Hawa jamaa wa startimes leo siwaelewi tangu asubuhi ni no signal ikija signal,hakuna picha,zaid unaona tangazo linapita kwa chini sijui mpira utaonyeshwa kwenye kungfu chanel na balabalabala,hivi naweza kuripoti wapi ujinga huu?na pia ikija picha kuna kitu inaapear non conax program,what the hell is wrong with this king'amuzi?aghrrrrrr,chanell zinazopatkana ni za kichina zaid

Hamia king'amuzi cha Ning

Tumia dstv clear channels unaanza kulipia kuanzia 15000/=, star times ni wezi tu, kama Zantel tu

mkuu ndoa na hawa makaburu ni noma uchelewi kunogewa ukalipia premium bora tu aende zake kwa easytv au ting kupunguza stress

Jaribu ku research, kama bado tumia antena ya nje ielekeze Kisarawe. usikatiswe tamaa Startimes ni nzuri na wanazidi kuongeza Chaneli.

Karibuni Easy TV..hawa wachina hawana longo longo kabisa!

tufahamishe ikoje? Unatumia antena au dish na chaneli ngapi?
Unanunu decodar..140,000
Monthly charges. 9,000
Wana channels 32.
Local channels zote unazipata!
Kuna channelz za movies..sports..religious and entertainments
Unatumia anntena..atena zao zipo very strong.

tehe tehe hao startimes wameshanikomesha, kwanza quality ya channel zao ni mbaya (hasa upande wa sauti) nimeamua kuachana nao sasa hv nikitaka burudani nanua zangu bundle na-download music videos na movie from the internet,habari napata humu humu kutoka jamiiforums na sometimes kwenye radio stations, mpira naangalia bar, kwa ufupi nimeachana na t.v tehe tehe

Pole sana dada,

Wajua watu wengine hawajui kwamba wanapoongea na mtoto mzuri kama wewe inabidi lugha iwe laini kidogo!!
Duh, hilo jina hapo juu lina ulaini hata kidogo!? Au ndo unabembeleza halafu u ng'ate?.

ahhh! TING ndio inaboa kuliko, TING ya walokole tu!
duh, umegongelea msumari wa 7" kwa ting tofauti na nilivyotarajia, wkt mwingine huwa naona namna unavyojenga hoja kule jukwaa dini na kudhani ting ndio wangekuwa best friend wako

Unanunu decodar..140,000

Monthly charges. 9,000

Wana channels 32.

Local channels zote unazipata!

Kuna channelz za movies..sports..religious and entertainments

Unatumia anntena..atena zao zipo very strong.
Hawa huku mikoani wapo? Au ni Dar tu?

Wapenzi wa Star Times msikate tamaa, niliwapigia jana na wakasema walikuwa na matatizo ya umeme kwenye kituo chao cha kurushia matangazo kilichopo Kisarawe. Leo naona wako bomba, kwa wanaotaka kutumia bajeti ndogo STAR TIMES ndio chaguo. La uko tayari kutumia bajeti kubwa hakuna ubishi SUPER SPORTS haina mpinzani, mengine yote ni ushabiki.

Back
Top Bottom