Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

Nyie ndio maadui wa Tanzania, kazi kuombea wenzenu wafeli ili nyie muchekee mafisi

Sikia wewe,Mimi siwezi kuwa Adui kwenye Nchi yangu
Huo ndiyo ukweli.tulitaka Rais mwenye vision siyo waluwalu.
Mbona nyumba za serikali alizouza Hajazirudisha?
 
Huu ni Ujinga uliopitiliza. Ningekua Admin hapa ningefuta thread na ningewapa ban wote mliochangia huu ujinga.
 
Kama wata mrudisha bila memory yake ya zamani basi amekufa tu.

Nadhani kama watafikia kiwango cha copy memory na kustore mahali ufanyaji kazi wa akili ya Binadamu hai wa sasa watakuwa wamepiga hatua kubwa mbele hata kama ni kwa kiwango cha kumbukumbu ya yaliyopita na si yajayo!
 
Binafsi Siamini kama watu watano tu,wanatosha kukamilisha Project kubwa kama Hiyo,tena ndani ya miaka 30 tu?

Ubongo wa mtoto mchanga tu,una uwezo sawa na super-computers zaidi ya 100,000
sasa Silicon chip ndogo inaweza kweli kuhifadhi kumbukumbu zote za mwanadamu kama ubongo?
Bado hawajanishawishi kwa kweli.Loh!
You don't need a gang to be successful. You only need a single smart brain.
 
You don't need a gang to be successful. You only need a single smart brain.

I really Appreciate your comment
But Remember death is Grand Mystery,so Extraordinary claim like this one require Extraordinary effort,professionals,Money etc.
And not group of five individuals
 
Last edited:
Huu ni Ujinga uliopitiliza. Ningekua Admin hapa ningefuta thread na ningewapa ban wote mliochangia huu ujinga.
Kama huu no ujinga basi ukiana posti za k 4 real. Mshana Jr. Appolo. Utaita upumbavu kabisa.
 
Sikia wewe,Mimi siwezi kuwa Adui kwenye Nchi yangu
Huo ndiyo ukweli.tulitaka Rais mwenye vision siyo waluwalu.
Mbona nyumba za serikali alizouza Hajazirudisha?
dawa ya ukweli ongea kwa kingereza hauumi
 
Kampuni ya Huamai iliyopo marekani Los angela inampango wa kufanya ufufuzi wa mtu aliyekufa. watafiti wana mpango wa kumfufua mfu kwa kugandisha ubongo wake halafu wanamtengenezea akili bandia(artificial intelligence). Humai technology wanataka kulitimiza hili kwa kufanya project yao iitwayo "Atom & Eve" ambayo itaiwezesha ufahama wao (consciousness) kuhamishiwa mwili bandia baada ya kufa kwao. Watafiti hao wanataka kufanikisha haya kwa kutumia teknolojia tatu ambazo ni bionics, nanotechnology and artificial intelligence

kwa taarifa zaidi :

Researchers plan to bring dead to life by freezing their brains and then resurrecting them with artificial intelligence

Bringing the dead back to life is futuristic and final frontier of science and Humai is working on just that. Humai is a technology company based in Los Angeles and is working on a project known as “Atom & Eve” that would let human consciousness be transferred to an artificial body after their death.

The artificial intelligence company has said it can resurrect human beings within the next 30 years. The “conversational styles, [behavioural]patterns, thought processes and information about how your body functions from the inside-out” would be stored on a silicon chip through AI and nanotechnology.

Humai researchers are banking on three technologies – bionics, nanotechnology and artificial intelligence – to achieve their goal of bringing the dead back to life and they feel that it will take around three decades for them to achieve this goal.

The founder of Humai, Josh Bocanegra told the Australian Popular Science: “I accept death, I’m not afraid of it that I’m not 100% sure I’m going to die one day.” While their Facebook page states, “Will death always be inevitable? We don’t think so.”

Bocanegra told Australian Popular Science that the brain of the deceased will be frozen using cryonics technology so that when the technology is fully developed they can implant the brain into an artificial body.

Humai says that bringing a body back to life won’t be easy, or cheap. It’s not known how the brains would be harvested, or for that matter, how much it would cost to bring someone back from the dead. Bocanegra says,”Using cloning technology, we will restore the brain as it matures”. “I don’t think of it as fighting death. I think of it as making death optional. I personally cannot imagine why someone would want to die, but I respect everyone’s wishes,” Bocanegra adds.

The most astonishing fact about Humai is that it consists of only five members. Two of them are researchers, one is the ambassador and an AI expert.

Should we be playing with the nature and bringing back the dead? Do put in your views in the comments section


A technology that can bring dead back to life might be a reality soon » TechWorm
Humai wants to resurrect the dead with AI, cloning and nanotechnology – but is it real?


Sasa hao wanafufua au wanatengeneza cyborg? Maana suala la kufufua ni la Mwenyezi Mungu pekee,hakuna kiumbe yeyote (si mwanadamu pekee) awezae hilo.
 
nadhani penye utata ni neno "kufufua" ukisoma vizuri utagundua wanatengeneza kama alivosema mchangiaji juu a cyborg. Neno ufufuo limepanuliwa maana toka kwenye ule ufufuo wa kidini na kutumiwa kisayansi.
Hata hivyo ukisoma vizuri utagundua haya yote yanawezekana kisayansi ila watu wanayapinga kiimani zaidi.
 
Kisayansi inawezekana kabisa one day hata kama ni miaka 100 ijayo..

Kama wanasayansi wamefanikiwa kuamisha kichwa cha mtu mmoja kwenda kwa mwingine, mie nafikiri hakuna kinachoshindikana mbele ya sayansi it is just a matter of time tu..

Kuna movie moja kisa chake kinataka kufanana na ichi inaitwa Source Code ,ukiiyona hii muvi kuna concept utaipata
 
Walisema wanahamia sayari ya Mars,
Mchakato wao haujakamilika tu??
 
Just do if you fail you will be a wise if you win you will be a winner.
 
Back
Top Bottom