Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

kamwe maajabu hayawezi kuisha katika huu ulimwengu,,,
 
Huko wamekwenda mbali sana kwa nini wasizuie kuzeeka kwa binadamu kwanza.
 
Sasa hao wanafufua au wanatengeneza cyborg? Maana suala la kufufua ni la Mwenyezi Mungu pekee,hakuna kiumbe yeyote (si mwanadamu pekee) awezae hilo.
Akili za hivi zinarudisha maendeleo nyuma,Unaweza kutuambia lini huyo mungu alifufua mtu?,ukimaliza kujibu thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Hiyo Artificial Intelligence (AI) anaifanyia research Mark CEO wa Facebook pia. Kawekeza fedha nyingi na muda. Na ipo kwenye hatua za awali.

Hivi Karibuni, nadhani tutabadili mtazamo wetu jinsi tunavyoyaona maisha.
 
let science speaks- kwani aliye gundua umeme, gari,ndege, meli, simu,kompyuta na kadhalika waliamini walichokuwa wanafanya na wakafanikiwa ila sisi watu weusi tecnology bado hatakujaribu kuiba imetushinda why?
 
In
Hahahahahaha
Kweli mkono mtupu haulambwi
.Inaaminika watu wa kale walikuwa ma-giants kweli kweli.Warefu na wenye miili.Waliweza kuishi hata miaka 800.Leo hii watu ni vipili vipili(wafupi kweli kweli) na wenye miili midogo.Je, nani sasa ni mazombi? Sisi wa kizazi hiki au wale wa kale?Jamani tutoke tutafute maarifa.Shuleni hawangeweza kukufundisha kila kitu kuhusu ulimwengu. Tufanye tafiti.Wengi wa waafrika baada ya kusoma na kuhitimu na kupata kazi tumebaki kuhesabu siku za kupata mishahara yao tu hakuna jambo la ziada tunaliacha kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Basi kama sasa hivi watu wamekuwa vifupi, mwishoe watabakia kama vinukta ikipita miaka kadhaa zaidi...
 
Sikia wewe,Mimi siwezi kuwa Adui kwenye Nchi yangu
Huo ndiyo ukweli.tulitaka Rais mwenye vision siyo waluwalu.
Mbona nyumba za serikali alizouza Hajazirudisha?

Watu wengine ni wakorofi sana. Hivi unamchokoza mtu mpaka anaripuka hivi.

Lakini new kama katema zenye point vile...
 
Back
Top Bottom