Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu

Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu

Hii vita tangu mwanzo ilitoa uwelekeo kuwa Hezbullah walitakiwa mahesabu makali kama yale ya mwanzo Israel ilitakiwa kudili na viongozi tu wa Hezbullah sio raia sio majengo lkn Netanyahu anataka Beirut iwe Gaza apo ndio anaenda wapa Haki Hezbullah kuivuruga Telaviv na miji mingine na ilo ndio lisababisa Israel atoe mlio na kukimbilia UN
Imekuaje tena !? Air defence mechanism hazifanyi Kazi !? Mbona wanapigwa ktk ardhi yao tena na Wana mgambo
 
Screenshot_2024-10-25-17-26-16-532_com.twitter.android.png
 
Keep silence ndiyo nini!?..shule ndogo Sana,ndiyo maana mnabwekabweka bila hoja humu,Kama viongozi wote waliuawa na bado mapambano yanaendelea,Kuna maana gani kuuza viongozi!?..tel Aviv inaguswa kila siku, netanyahu analala shimoni
Leo asubuhi nilikuwa naangalia al Jazeera,,wanaomba seize fire wenyewe,,acheni ujinga nyie wafuasi wa mudi
 
Kwa hivyo vibomu ambavyo haviwezi angusha hata Ghorofa la kko ?
Mkuuu mimi mjenzi amini nisemacho Jengo sio lamiza ulishushe lote kama anavyofanya Israel zile sifa na kutisha wengine lkn Jengo uliona linawaka moto apo akuna Jengo akuna mtu anakaa apo lishapigwa chini kwenye mshono akuna jengo apo watalishusha lote wenyewe.
 
Leo asubuhi nilikuwa naangalia al Jazeera,,wanaomba seize fire wenyewe,,acheni ujinga nyie wafuasi wa mudi
Kiingereza hujui hiyo Al Jazeera umeangaliaje!?..Mimi naangalia Sasa hivi hapa,muwakilishi wa USA yupo na rais wa Lebanon wanajadili cease fire,proposal ya Israel na hizbullah wamesema Kuna vitu hawavitaki kwenye hiyo proposal,aliyetoa proposal ndiye atakaye cease fire
 
Kingereza nimesona kuanzia kindergarten pale ROCKEN HILL ACADEMY.je wewe mkuu?
 
Hii vita tangu mwanzo ilitoa uwelekeo kuwa Hezbullah walitakiwa mahesabu makali kama yale ya mwanzo Israel ilitakiwa kudili na viongozi tu wa Hezbullah sio raia sio majengo lkn Netanyahu anataka Beirut iwe Gaza apo ndio anaenda wapa Haki Hezbullah kuivuruga Telaviv na miji mingine na ilo ndio lisababisa Israel atoe mlio na kukimbilia UN
Hilo kombora halikugusa hata jengo, lilidunguliwa angani. Mabaki yake yalipotua chini yalimjeruhi vibaya mama mmoja, na kuwapa majeraha ya wastani watu wengine watano. Mabaki hayo yalisababisha moto kwenye maeneo yalikoangua, mojawapo ni hilo jengo:

ALJAZEERA

Here’s what happened today​

We will be closing this live page soon. Here is a recap of today’s developments:
  • Rocket sirens sounded off across Tel Aviv and much of central Israel as falling shrapnel from an intercepted Hezbollah missile hit a main street – wounding six people including a woman in serious condition.
 
Msemaji wa IDF kutoka kateshi
 
Back
Top Bottom