Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu

Sawa, hebu tuoneshe na hali ikoje huko Beirut...ukiachana na viongozi karibu wote wa Hezbulah kuwahishwa kuzimu!
 
Hawa kobazi mbona wanapiga kioga hivyo , inatakiwa ka ni kupiga wapige haswa wadondoshe hayo maghorofa siyo wanarusha rusha njiti za kiberiti hapa..
 
Wewe hujawahi kuandika point hata siku moja
 
Wewe na idf Sawa ila polisi wa kizayuni wamesema direct attack mutajuana wenyewe muhimu wazayuni wawili wamefyekwa
 
Hezbollah wanaomba ceazefire
Hahaha US amefanya kila kitu ili ampe Israel point ashinde vita. Hezbullah kawambia bila Israel kufata resolution 1701 vita haisimami, we unajua hio 1701 mana yake nini? Israel asirushe hata drone Lebanon au kupiga risasi.

Vita hi Israel alienda kwa malengo matatu, kwanza awarudishe watu wake. Awarudishe Hezbullah nyuma ya Mto Letani na kuvunja silaha zao na yote hayo kashindwa. Afu Hezbullah ni serekali ya Lebanon ndio wabaya, Hezbullah alitaka vita vya Gaza mpaa visimame ndio na yeye asimamishe. Serekali ya Lebanon bada ya kuhongwa sijui na US na Saud Arabia wakawatia pressure Hezbullah wakubali. Swali je Hezbullah watakubali? Au hata huyo Israel atakubali sababu Israel yeye plan yake aitawale Lebanon katika ile map yao inasema Greater Israel 🤣
 
Ukweli ni hu Israel hataki kusimamisha vita vya Gaza, lakini anataka asimamishe vya Lebanon, je Israel anawapenda wa Lebanon au ni moto wa Hezbullah ndio unafanya aombe vita visimame.

Nilisha sema hapa Israel haheshimu UN resolution au nchi yeyote ile, anacho heshimu ni lugha ya silaha, ukimtandika vizuri ukampiga kwenye mshona anarudi kwenye lugha ya akili.

Hongera sana Hezbullah mpaa US anaenda wapigia magoti serekali ya Lebanon ili vita visimame.

Afu sio serekali ya Lebanon ndio US anaenda kuipigia magoti ni Hezbullah kwa njia ya serekali ya Lebanon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…