Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

Ana roho mbaya , hapendi watu watu waishi kwa raha , mfano kuwashangaa majaji anaowalipa maburungutu kuwa wanapata wapi hela za kwenda nje na familia, nimemvulia kofia kwa roho yake
Nafkir wewe utakua Mfisadi
 
Rispect _ ndo nini sasa wee kilaza halafu daily mnamsifia magufuli kurudisha nidhamu ya woga makazini na kashindwa kupambana na umaskini unaleta porojo tu hapa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Umeambiwa ameleta "Rispect" unashangaa nini mkuu? Mwache afaidi Rispect.
 
Magufuli amefanya mengi tena kwa spidi kubwa ambayo haikutarajiwa.
Swali muhimu kwa sasa ni je Magufuli hajatekeleza kipi kinachohusiana na ahadi na ilani ya CCM?

Je ulimsikiliza msemaji wa Serikali jana?
Mkuu milioni 50 vipi[emoji26] [emoji26] [emoji144]
 
The blockhead has successfully murdered and maimed countless civilians in the name of "kuchapa kazi"
 
0b0b4753605495b4fccc361fe2caef1e.jpg
 
Umeambiwa ameleta "Rispect" unashangaa nini mkuu? Mwache afaidi Rispect.
Hiyo ni typing error tu mwana JF! Isikuzuie wewe kutoa hoja zenye maana na mashiko kufuatana na hitaji la mtoa hoja! He meant RESPECT yaani heshima au utu au ubinadamu, chagua upendalo ulitolee hoja!
 
Mkuu milioni 50 vipi[emoji26] [emoji26] [emoji144]
Jamani kwani alisema au alitoa time frame na muda maalum wa kutoa hizo pesa? Tuwe na subira, naamini Rais wetu ni mtimiza ahadi na hii ataitimiza tu, kuwe mvua au jua, ataitekeleza tu! Amini hivyo ndugu.
 
According to my opinion I think there is nothing he has done than to try misuse of power through breakdown principles of democracy and fail to maintain human rights including right to express your opinion the good example is during his reign this site were tried to be hacked as well as to destroy ,
Also we'are experiencing lack of enough public security due to the those who responsible to maintain peace and security use their authority to betray and discriminate citizens
Finally, I don't think that the ongoing situation of killing innocent people it's a good way toward industrialization as well as middle economy and reduction of absolute poverty.
Solution;
*the current leaders must treat people equally without looking gender, tribe,religion, race, nationality,party etc.
*the current leaders must move from me to we perspective eg.they lead country as if it only ccm member who live in Tanzania.
*must maintain diplomatic relationship with our neighbor country Kenya.
*Lastly, amendment of constitution because the existing one is outdated.
By h.g turoto.
 
The blockhead has successfully murdered and maimed countless civilians in the name of "kuchapa kazi"
The blockheaded chap is simply outdated and Ex communicative ..he has done nothing ! I truly detest him..! sijui ndoto ya Lema itatimia lini..Lord have mercy on us!
 
According to my opinion I think there is nothing he has done than to try misuse of power through breakdown principles of democracy and fail to maintain human rights including right to express your opinion the good example is during his reign this site were tried to be hacked as well as to destroy ,
Also we'are experiencing lack of enough public security due to the those who responsible to maintain peace and security use their authority to betray and discriminate citizens
Finally, I don't think that the ongoing situation of killing innocent people it's a good way toward industrialization as well as middle economy and reduction of absolute poverty.
Solution;
*the current leaders must treat people equally without looking gender, tribe,religion, race, nationality,party etc.
*the current leaders must move from me to we perspective eg.they lead country as if it only ccm member who live in Tanzania.
*must maintain diplomatic relationship with our neighbor country Kenya.
*Lastly, amendment of constitution because the existing one is outdated.
By h.g turoto.
thank you SIR for this zawadi. japo ni short but clear message na msaada mkubwa kwa viongozi wa ngazi zote zinazohusiana na utawala wa sasa katika siasa na jeshi pia!!!
 
  • Thanks
Reactions: Sax
1) Amedhihirishia ulimwengu kwamba Tz kuna watu wapumbavu kama alio andika uzi huu. 2) Amethibitisha kuwa yeye mwenyewe ni mbinafsi na sio mpenda maendeleo ya wengine kwa kuwataka wa Tz waishi kama Mashetani, kama alivyo kuwa mleta Mada hapo juu. 2) Amedhihirishia wa Tz kuwa yeye kwake democracy hai exist kabisa kwa kubana vyama vya upinzani na kunyima haki vyombo vya habari. 3) Ametuonyesha wazi yakuwa Damu ya mtanzani au watanzania wasio na hatia kumwagika kwake yeye ni ushindi mkubwa, kwasababu tu chama anachokiongoza kishinde uchaguzi. 4) upuuzi mwingi tu ambao ni aibu kuendelea kutaja hapa.
 
Umaskini utaisha pindi tutakapo fanya bidii na kujituma, tatizo upo hapo kijiweni unakula sigara kali na hutaki kufanya sasa je unataka Raisi akulishe??
Wewe unafanya kazi na kujituma ??

- Hivi kuna mtu anaefanya kazi na kujituma anaupenda utawala huu ?

- Jitu limekaa sebuleni kwa shemeji limenyoosha miguu kwenye meza ya vioo linapiga porojo tu Kumsifia MAGU kwa ujinga mtupu
 
Je Kazi ya Kusaka watumishi-hewa, wanafunzi-hewa? Kafanya Nani?
Hiyo nayo ilikuwa ni ahadi ya kampeni ?

Ipo kwenye ilani ?

Jitu linadai limefuta watumishi hewa, vyeti feki lakini mpaka leo pesa za kuongeza INCREMENTS kwa watumishi LAKI 4 kati ya WATANZANIA Milioni 50 LIMESHINDWA. Limebaki kuwatishia tu watumishi kuwafukuza kazi ili wasidai pesa zao. Watumishi LAKI 4 Wamelishinda seuse AJIRA MPYA !!
 
Back
Top Bottom