Hilo unawaambia kina nani ?
- Walioko makaburini sasa kwa kupigwa na kuuawa bila hatia ?
- Wazazi waliopoteza ndugu, jamaa na watoto wao kwa kuuliwa bila hatia ?
- Watumishi wanaotishiwa amani na kufukuzwa kazi kama njugu huku wakinyimwa haki yao ?
- Vijana waliomaliza vyuo na ajira hakuna ?
- Watu wanaopigwa risasi mchana kweupe peee ?
- Wafanyabiashara wanaobanwa na kubambikwa kodi kubwa halafu ZEE LA VI-WONDER linagawa kama njugu kama PEDESHEE
- Au unamaanisha WALINZI/VIBARUA wa migodi walioumwa na MBU miaka 10 wakitegemea watapata MAFAO yao angalau WAFUNGUE Kimradi, pesa zao WAMEDHULUMIWA na ZEE LA VI- WONDER, halafu linatumia PESA Nyingi KUHONGA kina MTULIA Walisifu, Chaguzi za MARUDIO, Uwanja wa ndege CHATO, na waliokamata BOMBARDIER wakati WANAVYUO hata MIKOPO Wanakosa ????