kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Kama anajiona kaongoza vyema anaogopa nini uchaguzi huru??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa bado ipo, na sio Tz2 hata USA ipo, tuna Kazi kubwa sana lakujenga Taifa hili. Tujiulize sisi kama wananchi tunafanya kipi kupigana na rushwa?? Ukienda sehem ukakuta foleni hata kama ulikua wa mwisho utanza kuwaza kuchakachua na kushawishi watu ili uwe wa kwanza na usepe. Mimi namini Rushwa ni wananchi ndo wameleta na sisitu ndo tunaweza pambana nalo wala sio TaKukuru. Kua mzalendo na ukatae kutoa hela ya Maji ili upate huduma kwenye ofisi za serikali kwa sababu hio ni haki yako ya msingi.Wagonjwa bado wanapelekwa India kwa surgery za miguu, hatuwezi bado ata kutoboa tezi dume, Tanzania bado ina import IV fluid, Tanzania bado haina mikasi ya kukata uterus fibroids za wanawake.
Watoto bado wanakaa chini across the country na rushwa kama unadhani imepungua you are not living in this country.
Kweli watoto wanakaa chini, je zamani walikua wanakaa wapi?? Ndugu Magufuli sio malaika na hawezi leta mabadiliko kwa cku mja wala miaka 5. Hii Taifa ilkua imekua shamba la Bibi na kila mjinga alikua anafanya uwiZi waa hali ya juu. Magu kiboko kwa mwendo huu baada ya miaka 7 tutakua mbali sana.Wagonjwa bado wanapelekwa India kwa surgery za miguu, hatuwezi bado ata kutoboa tezi dume, Tanzania bado ina import IV fluid, Tanzania bado haina mikasi ya kukata uterus fibroids za wanawake.
Watoto bado wanakaa chini across the country na rushwa kama unadhani imepungua you are not living in this country.
Uchaguzi tutafanya subir mda wake uje.Kama anajiona kaongoza vyema anaogopa nini uchaguzi huru??
This is Diplomatic issues, let’s not go into it....Bombardier yetu iliyoshikiliwa Canada...million 50 kijijini kwetu....vyerehani 4 kiwanda...
Innocent people always Die. This is normalkilling innocent civilians
Democracy is not for Africans, let’s live the way we are or else Men will marry fellow Men.According to my opinion I think there is nothing he has done than to try misuse of power through breakdown principles of democracy and fail to maintain human rights including right to express your opinion the good example is during his reign this site were tried to be hacked as well as to destroy ,
Also we'are experiencing lack of enough public security due to the those who responsible to maintain peace and security use their authority to betray and discriminate citizens
Finally, I don't think that the ongoing situation of killing innocent people it's a good way toward industrialization as well as middle economy and reduction of absolute poverty.
Solution;
*the current leaders must treat people equally without looking gender, tribe,religion, race, nationality,party etc.
*the current leaders must move from me to we perspective eg.they lead country as if it only ccm member who live in Tanzania.
*must maintain diplomatic relationship with our neighbor country Kenya.
*Lastly, amendment of constitution because the existing one is outdated.
By h.g turoto.
Acha habari za vijiweni, fanya Kazi utapata mafanikio. Usisubir Magufuli akupe mtajiWewe unafanya kazi na kujituma ??
- Hivi kuna mtu anaefanya kazi na kujituma anaupenda utawala huu ?
- Jitu limekaa sebuleni kwa shemeji limenyoosha miguu kwenye meza ya vioo linapiga porojo tu Kumsifia MAGU kwa ujinga mtupu
Sio kweli1) Amedhihirishia ulimwengu kwamba Tz kuna watu wapumbavu kama alio andika uzi huu. 2) Amethibitisha kuwa yeye mwenyewe ni mbinafsi na sio mpenda maendeleo ya wengine kwa kuwataka wa Tz waishi kama Mashetani, kama alivyo kuwa mleta Mada hapo juu. 2) Amedhihirishia wa Tz kuwa yeye kwake democracy hai exist kabisa kwa kubana vyama vya upinzani na kunyima haki vyombo vya habari. 3) Ametuonyesha wazi yakuwa Damu ya mtanzani au watanzania wasio na hatia kumwagika kwake yeye ni ushindi mkubwa, kwasababu tu chama anachokiongoza kishinde uchaguzi. 4) upuuzi mwingi tu ambao ni aibu kuendelea kutaja hapa.
....Wajifanya wajua kumbe waungua na jua kali...This is Diplomatic issues, let’s not go into it.
Zee la Vi-Wonder Halina uwezo wa kunipa mtaji, linachoweza ni kunidhulumu hata changu kidogo nilichotafuta kwa jasho !Acha habari za vijiweni, fanya Kazi utapata mafanikio. Usisubir Magufuli akupe mtaji
Zee la Vi-Wonder Halina uwezo wa kunipa mtaji, linachoweza ni kunidhulumu hata changu kidogo nilichotafuta kwa jasho !Acha habari za vijiweni, fanya Kazi utapata mafanikio. Usisubir Magufuli akupe mtaji
Kweli watoto wanakaa chini, je zamani walikua wanakaa wapi?? Ndugu Magufuli sio malaika na hawezi leta mabadiliko kwa cku mja wala miaka 5. Hii Taifa ilkua imekua shamba la Bibi na kila mjinga alikua anafanya uwiZi waa hali ya juu. Magu kiboko kwa mwendo huu baada ya miaka 7 tutakua mbali sana.
Magufuli ametuokoa sote sematu wengine wasalitiEti Magufuli sio malaika.
Mnapaisha halafu tukimu-expose mnasema sio malaika.
Basi acheni kumsifia sifia ovyo manake yeye sio malaika.
Eti sio malaika, kwa hiyo yeye anasifiwa tu, akikosolewa, sio malaika!
kodi bana paka kooniZee la Vi-Wonder Halina uwezo wa kunipa mtaji, linachoweza ni kunidhulumu hata changu kidogo nilichotafuta kwa jasho !
Bila kodi hakuna serikali inaweza jiendeshakodi bana paka kooni