Msomali Mweusi
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 100
- 70
- Thread starter
-
- #21
Nafkir wewe utakua MfisadiAna roho mbaya , hapendi watu watu waishi kwa raha , mfano kuwashangaa majaji anaowalipa maburungutu kuwa wanapata wapi hela za kwenda nje na familia, nimemvulia kofia kwa roho yake
Umeambiwa ameleta "Rispect" unashangaa nini mkuu? Mwache afaidi Rispect.Rispect _ ndo nini sasa wee kilaza halafu daily mnamsifia magufuli kurudisha nidhamu ya woga makazini na kashindwa kupambana na umaskini unaleta porojo tu hapa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Yeah and a country with less corruption will at least see some developments in the near futureHe has at least tackled some corruption quite well, I can give him that.
Mkuu milioni 50 vipi[emoji26] [emoji26] [emoji144]Magufuli amefanya mengi tena kwa spidi kubwa ambayo haikutarajiwa.
Swali muhimu kwa sasa ni je Magufuli hajatekeleza kipi kinachohusiana na ahadi na ilani ya CCM?
Je ulimsikiliza msemaji wa Serikali jana?
Hiyo ni typing error tu mwana JF! Isikuzuie wewe kutoa hoja zenye maana na mashiko kufuatana na hitaji la mtoa hoja! He meant RESPECT yaani heshima au utu au ubinadamu, chagua upendalo ulitolee hoja!Umeambiwa ameleta "Rispect" unashangaa nini mkuu? Mwache afaidi Rispect.
Jamani kwani alisema au alitoa time frame na muda maalum wa kutoa hizo pesa? Tuwe na subira, naamini Rais wetu ni mtimiza ahadi na hii ataitimiza tu, kuwe mvua au jua, ataitekeleza tu! Amini hivyo ndugu.Mkuu milioni 50 vipi[emoji26] [emoji26] [emoji144]
The blockheaded chap is simply outdated and Ex communicative ..he has done nothing ! I truly detest him..! sijui ndoto ya Lema itatimia lini..Lord have mercy on us!The blockhead has successfully murdered and maimed countless civilians in the name of "kuchapa kazi"
umefanya uchunguzi gani juu ya hiliHe has at least tackled some corruption quite well, I can give him that.
thank you SIR for this zawadi. japo ni short but clear message na msaada mkubwa kwa viongozi wa ngazi zote zinazohusiana na utawala wa sasa katika siasa na jeshi pia!!!According to my opinion I think there is nothing he has done than to try misuse of power through breakdown principles of democracy and fail to maintain human rights including right to express your opinion the good example is during his reign this site were tried to be hacked as well as to destroy ,
Also we'are experiencing lack of enough public security due to the those who responsible to maintain peace and security use their authority to betray and discriminate citizens
Finally, I don't think that the ongoing situation of killing innocent people it's a good way toward industrialization as well as middle economy and reduction of absolute poverty.
Solution;
*the current leaders must treat people equally without looking gender, tribe,religion, race, nationality,party etc.
*the current leaders must move from me to we perspective eg.they lead country as if it only ccm member who live in Tanzania.
*must maintain diplomatic relationship with our neighbor country Kenya.
*Lastly, amendment of constitution because the existing one is outdated.
By h.g turoto.
Nyooo, kafanye kazi upate ya kwakoMkuu milioni 50 vipi[emoji26] [emoji26] [emoji144]
Wewe unafanya kazi na kujituma ??Umaskini utaisha pindi tutakapo fanya bidii na kujituma, tatizo upo hapo kijiweni unakula sigara kali na hutaki kufanya sasa je unataka Raisi akulishe??
Hiyo nayo ilikuwa ni ahadi ya kampeni ?Je Kazi ya Kusaka watumishi-hewa, wanafunzi-hewa? Kafanya Nani?