Kuna tatizo kuangalia?Kumbe mnaangalia teh teh teh teh!๐๐๐๐๐๐๐๐
Na IGP Sirro anaenda kuingia katika historia kama IGP wa hovyo zaidi kupata kutokeaPolisi wa Tanzania katika awamu hii imekuwa organization ya ovyo kuliko hata south african police service ya wakati wa makaburu
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take homeMsanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tuu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home