Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Wewe ni kilaz.a kweli hawa wanao kopakopa Laki moja moja kila katikati ya mwezi mtaani.

Na kuja kutoa elfu 20 ya Rushwa kwenye mpesa zetu?...
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home

Mkuu hiyo figure iko sawa? Ama umechanganya na za rushwa?
 
Angewasema upinzani ingeendelea kuonekana kama kawaida kuwa wasanii wa bongo wana njaa,wanatumika na ccm,hawana elimu na hasa huyo Temba angeonekana ni bangi tu zinamsumbua.
 
Hivi yupo

Nilikuwa naupenda sana huu wimbo pamoja na kundi Zima la TMK wanaume walikuwa na style yao nzurii ya kucheza
 
Back
Top Bottom