Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
CHADEMA na ndoto ya mwendawazimuTemba kafanya vizuri sana, Polepole ameshapata ujumbe, japo wanawapata hao wasanii kwa njaa zao, lakini mioyo ya hao wasanii wote iko upinzani, CCM muache kujidanganya muda wenu wa kuendelea kuitawala nchi hii ulishapita.
Wote tumeona wahuni wakijificha nyuma ya polisi na kuurushia mawe msafara wa Chadema jana kule Hai, kama walikuwa wanajikausha hawajui kilichotokea, sasa Temba keshawachafua roho kwenye tamasha lao, hata wakimshusha jukwaani tayari ujumbe umeshafika.
Jana wameaibishana sana CCM ina kila aina ya wahuniMsanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Milion 5 constable au unaongelea RPC?Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Basi wewe ni police muongoMimi pia ni police,hivyo nakuambia kile ninachokipokea
Wa kikosi gani?Ila msisahau Mh. Temba ni poti na poti anaona polisi kama raia mkakamavu tu
Duh! mkuu acha uongoAliye ajiriwa kuanza Leo anaanza na 5m take home
Ukifanya masihara hata SIRO hapokei hiyo helaPolice wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Kuna ubaya?Wewe mbona una fuatilia hapa jamvini?
Uongo mwingine bhana, Mungu anakuona!!!Duh! mkuu acha uongo
Siro anapata zaidi ya 20,000,000 kabla ya marupurupuUkifanya masihara hata SIRO hapokei hiyo hela
Mkuu karibu Tanzania ccm police force kumenogaDuh! mkuu acha uongo
Uongo siku ya Jumapili ni hatari sana hasa kwa Mkristu.Siro anapata zaidi ya 20,000,000 kabla ya marupurupu
Unataka kusema wewe unajua mshahara wangu kuliko Mimi mwenyewe?Basi wewe ni police muongo
Yes constable,RPC yupo kwenye 15-18m per monthMilion 5 constable au unaongelea RPC?
Nipm nikuonesha salary slip yangu,ninyi watu sijui vipi? Mnatuchikulia poa ee? Ninyi mnadhani tunaipigania ccm hivi hivi tu?Umeandika ukiwa tungi au!?
Wewe unaumwaAcha kuongope watu DCP,mwenyewe hana hiyo take home na ni cheo cha nne kutoka kwa IGP!!
Unachokitafuta utakipata, labda unatafuta likes. Kama sikosei Konstebo ni Askari asie na cheo chochote, sasa huyo ndio anapokea 15M!!!!??? kwa mwezi!!! WE UMEVURUGWA.Yes constable,RPC yupo kwenye 15-18m per month
Hiyo ni life style tuliochagua mkuu,we are ccm police force kwa hiyo lazima tuwe unique kutoka kwenye nyumba tunazoishi,mavazi and everything,ndo maana hata watoto wetu wanasoma nje ya nchiEndelea kuwafariji 5m wangekua wanakaa kwenye vile vijumba vyao vile