Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
CHADEMA na ndoto ya mwendawazimuTemba kafanya vizuri sana, Polepole ameshapata ujumbe, japo wanawapata hao wasanii kwa njaa zao, lakini mioyo ya hao wasanii wote iko upinzani, CCM muache kujidanganya muda wenu wa kuendelea kuitawala nchi hii ulishapita.
Wote tumeona wahuni wakijificha nyuma ya polisi na kuurushia mawe msafara wa Chadema jana kule Hai, kama walikuwa wanajikausha hawajui kilichotokea, sasa Temba keshawachafua roho kwenye tamasha lao, hata wakimshusha jukwaani tayari ujumbe umeshafika.