Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Temba kafanya vizuri sana, Polepole ameshapata ujumbe, japo wanawapata hao wasanii kwa njaa zao, lakini mioyo ya hao wasanii wote iko upinzani, CCM muache kujidanganya muda wenu wa kuendelea kuitawala nchi hii ulishapita.

Wote tumeona wahuni wakijificha nyuma ya polisi na kuurushia mawe msafara wa Chadema jana kule Hai, kama walikuwa wanajikausha hawajui kilichotokea, sasa Temba keshawachafua roho kwenye tamasha lao, hata wakimshusha jukwaani tayari ujumbe umeshafika.
CHADEMA na ndoto ya mwendawazimu
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Jana wameaibishana sana CCM ina kila aina ya wahuni
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Milion 5 constable au unaongelea RPC?
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Ukifanya masihara hata SIRO hapokei hiyo hela
 
Endelea kuwafariji 5m wangekua wanakaa kwenye vile vijumba vyao vile
Hiyo ni life style tuliochagua mkuu,we are ccm police force kwa hiyo lazima tuwe unique kutoka kwenye nyumba tunazoishi,mavazi and everything,ndo maana hata watoto wetu wanasoma nje ya nchi
 
Back
Top Bottom