Two fathers one son
Member
- Jul 31, 2020
- 34
- 46
mnatakiwa kutulinda na siyo kutuwinda kweli muuni siyo mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi police mkuu na ukiichezea ccm napigaWe sio police abadani labda kama umeandika kwa kejeli
Moyo wa upendo
Moyo usio na hila
Kuna watu wanakutolea povu kabisa hadi najiuliza hivi wana akili kweli!!Mimi police mkuu na ukiichezea ccm napiga
This is satire 🤣🤣🤣🤣Wewe unadhani sababu hasa ya sisi kuwapiga raia wanaoipinga serikali tukufu ni Nini? Na uhusiano wetu na hiyo serikali ni nini Kama si mshahara mnono?
Acha utani weweAtakuwa anamaanisha take home ya mwaka mzima minimum 5,000,000/=
Tunaangalia hali ilivyo , Temba akitekwa patachimbika !Haisaidi kwani ujumbe umefika na kitendo hicho kitafanya habari hii iwafikie watu wengi zaidi.
Kwenye physics tunasema, work done=0
Wewe utakuwa ni mgambo bila shaka!Mkuu usiwachukulie poa,hiyo ni style tu ya maisha walioyochagua Ila wanapiga mpunga mrefu,ndo maana wapo tayari kuua ili kuitetea ccm inayowapa mshahara
Sawa bishaNABISHAA.
#YNWA
Sawa Ila napika 5m kila mweziWewe utakuwa ni mgambo bila shaka!
Ingia YouTube acha uvivu mkuumwenye video please
Ndio kama hivi,si unaona inavyosambaaa mkuu. Hii tu,na ktk hii tu inasambaa kutoka hapo uwanjaniHaisaidi kwani ujumbe umefika na kitendo hicho kitafanya habari hii iwafikie watu wengi zaidi.
Kwenye physics tunasema, work done=0
Kibaya zaidi ni baada ya Temba kutamka maneno hayo uwanja mzima ukaripuka kwa shangwe !Temba kafanya vizuri sana, Polepole ameshapata ujumbe, japo wanawapata hao wasanii kwa njaa zao, lakini mioyo ya hao wasanii wote iko upinzani, CCM muache kujidanganya muda wenu wa kuendelea kuitawala nchi hii ulishapita.
Wote tumeona wahuni wakijificha nyuma ya polisi na kuurushia mawe msafara wa Chadema jana kule Hai, kama walikuwa wanajikausha hawajui kilichotokea, sasa Temba keshawachafua roho kwenye tamasha lao, hata wakimshusha jukwaani tayari ujumbe umeshafika.
Ona AIBUMimi pia ni police,hivyo nakuambia kile ninachokipokea
Mkuu hiyo figure iko sawa,net take home 5m remember hiyo ni minimum wage,kwa hiyo mtu Kama siri yupo kwenye 20 to 25 mMkuu hiyo figure iko sawa? Ama umechanganya na za rushwa?
Nionee aibu mshahara wangu au?Ona AIBU