Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Uongo mwingine bausaidii!

Alafu si ulisema huna Muda wa kupoteza kufuatilia wapuuzi? Kumbe unafuatilia kimya kimya?
Hivi unajua kuwa hauko huru? Yani hata mambo yanayoonekana wazi wewe hayakufikii! Pole sana!
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
We jamaa acha fiksi za kijinga kawandanganye polini huko
 
Tena wanafatilia kupitia TBC
Baadae watakuambia nina miaka 60 sijawahi kuona TBCCM 😂😂😂😂🤣🤣
Haha ha ha ha😂😂😂😂😂😂Makamanda wakati mwingine ni vivutio tukiwatumia vizuri tunaweza kuongeza GDP
 
Haha ha ha ha😂😂😂😂😂😂Makamanda wakati mwingine ni vivutio tukiwatumia vizuri tunaweza kuongeza GDP
😂😂😂😂 Mtoto wa kamanda akijichanganya apite mbele ya TBC muda kama huu anaweza okotewa MOI. 🤣🤣🤣
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tuu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Kuna mwingine kapigwa mtama Karume(Dar) kaenda kutua Mandela(Swanga).
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tuu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Wakati mwingine Mwenyezi Mungu husimama na watu wake na kuamua kuwaondolea unafiki mioyoni mwao kwa kusema ukweli.big up temba achana na hao wachumia matumbo wanaojifanya wasanii kumbe njaa t zinawasumbua.
 
Back
Top Bottom