Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Kwa hali hii inaonesha kuwa kuna wasanii hawakupenda kwenda kuimba mapambio kabsa sema tu njaa ya tumbo imekua kal watafanya nn
 
Tamasha lina mikosi hilo mara Adam kampiga mtu mtama mara Temba kawachana live policcm
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Hao wasanii wanatakiwa kuheshimu mikataba yao ya kazi zilizowaleta hapo viwanja vya uhuru.
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home

Acha mambo yako wewe. Milioni 5 unaifahamu vizuri.
Usitufanye watoto wadogo
 
Mkuu usiwachukulie poa, hiyo ni style tu ya maisha walioyochagua Ila wanapiga mpunga mrefu,ndo maana wapo tayari kuua ili kuitetea ccm inayowapa mshahara
Acha kuongopa askari gani ambaye ana take home ya milioni 5?!!au unazungumzia kamishina?!! Wale ni wa kuonea huruma tu, kwani kiapo ndio kinawafanya wafanye hayo
 
Wewe unaumwa,kiapo ni kitu gani? Hao Marais na mawaziri hawaapi? Wakuu wa mikoa na wiliya au wakurungezi hawaapi? Rais haapi kuilinda katiba na kuwa mwaminifu kwa Tanzania,je wanayafanya hayo waliyoapa kuyafanya? Au unadhani kiapo Cha police ndo kiapo special hadi police awe zuzu kutumikia wengine wakati yeye anakufa njaa?
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Wamemnyima haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni yake.

Hajatukana wala hajasema kitu kibaya.

Amesema maneno yaliyo moyoni mwake.

Kwa hilo, ninamuheshimu sana.

Tukihesabu wasanii waliosema kwa woga na waliosema kwa ujasiri, hiyu atakuwa uoande wa ujasiri.
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Unajiombea laana wewe, ondoa hiyo sufuri ya mwisho uliyoiongeza kwa manufaa ya tumbo lako kubwa kama la kangi.
 
Back
Top Bottom