Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hiyo 5m labda kama unazungumzia vipimo vya mitaAliye ajiriwa kuanza Leo anaanza na 5m take home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo 5m labda kama unazungumzia vipimo vya mitaAliye ajiriwa kuanza Leo anaanza na 5m take home
Hiyo ML5 ni ujazo wa maji ya mo. Nadhani hukumuelewa mshkajiMl.5 wapewe amawaibe
Kwa hali hii inaonesha kuwa kuna wasanii hawakupenda kwenda kuimba mapambio kabsa sema tu njaa ya tumbo imekua kal watafanya nnMsanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Huo mpunga mnaupigia kyela au mang'ula?Police tunapiga mpunga mrefu mno
Hao wasanii wanatakiwa kuheshimu mikataba yao ya kazi zilizowaleta hapo viwanja vya uhuru.Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Inatumia nguvu ya dola,vinginevyo ni wepesi kama karatasiCcm haipendwi inatumia nguvu na hela
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Sifa za kijingaPolice tunapiga mpunga mrefu mno
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Mkuu badala ya kujihurumia wewe tunavyokupa kipigo Cha mbwa Koko wewe unaonea gere mishahara yetuAcha mambo yako wewe. Milioni 5 unaifahamu vizuri.
Usitufanye watoto wadogo
Wewe labda unaongelea police wa malawiAcha uongo ww OCD mwenyewe halipwi hiyo hela
Pole sana,it seems mnatuchukulia poa sana sisi police ee?Siyo kwamba uko ndotoni kweli???
Acha kuongopa askari gani ambaye ana take home ya milioni 5?!!au unazungumzia kamishina?!! Wale ni wa kuonea huruma tu, kwani kiapo ndio kinawafanya wafanye hayoMkuu usiwachukulie poa, hiyo ni style tu ya maisha walioyochagua Ila wanapiga mpunga mrefu,ndo maana wapo tayari kuua ili kuitetea ccm inayowapa mshahara
Tanzania chini ya chama bora Africa,chama kubwa ccm ndo maana tunakilinda kwa nguvu zetu zoteHuo mpunga mnaupigia kyela au mang'ula?
Wewe unaumwa,kiapo ni kitu gani? Hao Marais na mawaziri hawaapi? Wakuu wa mikoa na wiliya au wakurungezi hawaapi? Rais haapi kuilinda katiba na kuwa mwaminifu kwa Tanzania,je wanayafanya hayo waliyoapa kuyafanya? Au unadhani kiapo Cha police ndo kiapo special hadi police awe zuzu kutumikia wengine wakati yeye anakufa njaa?Acha kuongopa askari gani ambaye ana take home ya milioni 5?!!au unazungumzia kamishina?!! Wale ni wa kuonea huruma tu, kwani kiapo ndio kinawafanya wafanye hayo
Acha kuongope watu DCP,mwenyewe hana hiyo take home na ni cheo cha nne kutoka kwa IGP!!Mimi pia ni police,hivyo nakuambia kile ninachokipokea
Wamemnyima haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni yake.Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Asante Mheshiwa Temba. maana nilianza kujiuliza hivi katika hao wasanii wote inamaana Hakuna Msanii hata moja. Nashukuru angarau wewe ndio Msanii Pekee katika Wasanii wanaowakilisha wengi.Mwenyezi Mungu akulinde Ndugu Amani James Temba kwa kuwaambia UKWELI hayo madhalimu.
Unajiombea laana wewe, ondoa hiyo sufuri ya mwisho uliyoiongeza kwa manufaa ya tumbo lako kubwa kama la kangi.Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home