Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

Ngogwe (African eggplant), bilinganya (eggplants), hoho(sweet pepper), kunde (cowpeas) na mchungwa (orange tree)
 
Asante mkuu mana nilikuaga natafuta maana ya nyama ya turkey kwa kiswahil [emoji2] nikawa sijui mpk nikawa nawadaganya wagen wangu ni nyama ya mbuni
 
Shukrani kaka, hivyo vitu nimegundua hata walimu hawavijui. Wakati nipo form 2 Mwalimu wa biology aliuliza mwarobaini tukakosa jibu. Wengine wakamwambia ni mwa40. Mwalimu akawa hajui, navyokwambia leo ndio nimefahamu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hatar kwel nakumbuka form ll hyo tabia ya kuongezea hivyo maneno ilikuwepo hasa hasa kwenye malumbano ya kimadarasa
 
Bamia kwa Kingereza zinaitwa "ocra"
 
Huwezi amini na ukubwa wote huu nilishindwa kwa masaa kadhaa kujua kachumbari kwa kingereza nitumie neno gani. Hii lugha inatuaibisha sana Watanzania
 
Ngogwe - african egg plant
Biringanya - egg plant
Hoho - sweet pepper
Mchunga - wild lettuce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…