Tembo Nickel yapewa siku 30 kulipa fidia kwa wananchi wanaoguswa na mradi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza kulipwa fidia zao hivi karibuni.



Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe Jerri William Silaa, Waziri wa Madini Mhe. Antony Mavunde na Kamati mbili za Bunge za Ardhi, Maliasili na Utalii na Kamati ya Madini na Nishati.

Aidha, RC Kagera Mhe. Hajat Fatma Abubakar Mwassa alihudhuria Hafla hiyo akifuatana na RAS Kagera Dkt. Toba Nguvila pamoja na Kamati ya Usalama ya Mkoa.



Kazi iendelee.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-11-15 at 14.33.42.jpeg
    65.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-11-15 at 14.33.43(2).jpeg
    78.9 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-11-15 at 14.33.43(3).jpeg
    74 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-11-15 at 14.33.44.jpeg
    69.7 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-11-15 at 14.33.44(2).jpeg
    73.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…