Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Tatizo ndugu umeangalia ulipoangukia sio ulipojikwaa unadhani huyo anajiamulia tu? tatizo limeanzia mbaliHawa wakurugenzi wangaliwe vizuri akili zao hivi kweli mmeshindwa kuwezesha watu wafanye kazi mkusanye kodi? Kipaimara kinachofanyika nyumbani kwangu mm nilipe kodi? Huko kwenye kumbi za maharusi sawa daini maana kumbi zinakodishwa.
Mwisho wa siku tutaambiwa ukiingia kanisani au msikitini lazima ulipe kodi .hii ni serikali ya wanyampala wachumia tumbo kwa mtaji wa wanyoje.
upo sahihi.Wanalianzisha halafu likiwashinda anakuja jiwe anarudisha kama ilivyokuwa mwanzo kisha anapigiwa makofi kwamba ndo bora hakuna kama yeye
aibu hawana ccm
Tengeneza tatizo alafu ulitatue[emoji23] [emoji23]Wanalianzisha halafu likiwashinda anakuja jiwe anarudisha kama ilivyokuwa mwanzo kisha anapigiwa makofi kwamba ndo bora hakuna kama yeye
aibu hawana ccm