Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
kawaulize lumumba wenzio shoga angu, nyinyi si kila kitu mnapongeza, kesho jiwe akijitokeza kupongeza ilo, utaikana hii kauli yakoHiyo ipo kwenye kipengele gani cha matakwa nchini?
Ilipitishwa na akina nani? Maana mwandikaji hajaandika hata kipengele cha kuonyesha ni sheria sijui nini.
Pesa hizo zinatozwa kufanyia nini?
Na kwanini wanatoza wananchi.. mtu akikaa kwake kutaka kufurahia na ndugu na jamaa kuondoa mastresi ndio aanze kupiga picha kuchajiwa na serikali kwanza?
Kuna mengi kwenye wilaya zz nchinu bado ni majanga.. uchafu, kuelimisha wananchi mengi n.k.
Hivi wale akina Mama wanaofagia barabara kila siku kweli hakuna kazi zingine za kuwapatia na kuachia vigari vya kusafisha nakuvuta michanga ikafanya hayo.. pesa za kununua hakuna kweli!! au ndio kulipa wamama pesa ndogo kuwatesa tu kwenye jua.