Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Hii itakua kiki ya bashite bila shaka. Tunatega sikio kusubiri tenguzi ya amri kutaka kwa rc, but lazima watu walalamike kwanza ndipo atatengua
Wanalianzisha halafu likiwashinda anakuja jiwe anarudisha kama ilivyokuwa mwanzo kisha anapigiwa makofi kwamba ndo bora hakuna kama yeye

aibu hawana ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawapa dili utasikia wanawawekea utaratibu mzuri wa kufanya shughuli zao ili sirikali ijipatie mapato
Mnapoteza mapato mengi kwa malaya wanaojiuza, huko nako ni chambo kikubwa cha mapato halali

In God we Trust
 
Mkurugenzi kasahau vikao vya arusi siku za week end.

Na pia watu wakikaa kwenye bar wakiwa zaidi ya wawili ni sherehe tayari hio walipie kodi.
Mmawia
 
Hawa wakurugenzi wangaliwe vizuri akili zao hivi kweli mmeshindwa kuwezesha watu wafanye kazi mkusanye kodi? Kipaimara kinachofanyika nyumbani kwangu mm nilipe kodi? Huko kwenye kumbi za maharusi sawa daini maana kumbi zinakodishwa.
Wakikufuata nyumbani watakuwa wanajitafutia kupasuliwa

In God we Trust
 
Hao ndio wana akili na ninawaponeza sana. Huko dar wamejaa wasanii tu kila siku sherehe, mara midundiko sijuvisingeli, msanii wa kike kila akirudisha mwaka nyuma anafanya betidei, akinunua wigi mpya ama kupaka rangi mpya kwenye uso wake sherehe sasa ngoja wawakomeshe.
 
Hawana ela sasa wanakaba tu kama majambazi wengine very soon tutasikia wanawakopa hata watumishi kutoka kwenye mishahara yao
Pia lazima mumueleze mtu mnayechukua pesa yake kwanini mnachukua. Kipaimara nyumbani kwangu we manispaa unanisaidia nn kutokana na pesa unayotaka kuchukua kwenye kipaimara iko.

In God we Trust
 
Ccm kitu aibu hawanaga kamwe
Wanalianzisha halafu likiwashinda anakuja jiwe anarudisha kama ilivyokuwa mwanzo kisha anapigiwa makofi kwamba ndo bora hakuna kama yeye

aibu hawana ccm

In God we Trust
 
Back
Top Bottom