gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Hivi hizi shule za serikali za miti/udongo tunazoziona humu mitandaoni unafikiri kama ndio zingekuwa za watu binafsi wangekuwa salama?Suala siyo kuruhusu ubunifu, wale wameendesha chuo bila kufuata sheria, hilo ndiyo kosa lao, ila pia mazingira yao hayaendani na viwango vya Serikali kama NECTA na NACTE.
Busara hapa ni kuwapa vigezo na ikibidi wasaidiwe lakini hiki kinachofanyika ni ujinga.Serikali haiwezi kuajiri watu wote,hawa wanaojitahidi kuanzisha mambo yenye kupunguza tatizo la ajiri wasaidiwe na sio kuvunjwa moyo.