Hivi hizi shule za serikali za miti/udongo tunazoziona humu mitandaoni unafikiri kama ndio zingekuwa za watu binafsi wangekuwa salama?Suala siyo kuruhusu ubunifu, wale wameendesha chuo bila kufuata sheria, hilo ndiyo kosa lao, ila pia mazingira yao hayaendani na viwango vya Serikali kama NECTA na NACTE.
Ni ujinga uliopitiliza kutoka kwa viongozi wajinga... Watu wanabuni solutions badala ya kukaa nao bega kwa bega na kuwaongoza ipasavyo wanatishwa na kuwekwa ndani...Watengeneza magobori wanakiona cha moto.
Mkuu unaongea kama vile upo chooni... #ShameSuala siyo kuruhusu ubunifu, wale wameendesha chuo bila kufuata sheria, hilo ndiyo kosa lao, ila pia mazingira yao hayaendani na viwango vya Serikali kama NECTA na NACTE.
Na kwa nini wawekwe chini ya ulinzi??Acha bodi za kusajiri hivyo vyuo vitoe uamuzi kama chuo ni halali au sio, hawa wanasiasa njaa wanakuja kutuvuruga tuu kwa misifa au kutokuelewa
Wamevunja Sheria.Na kwa nini wawekwe chini ya ulinzi??
No idea, lakini inaonekana ni kutumia vibaya madaraka kwa hawa watu, nafikiri simu moja kwenye bodi ya usajiri wa hivyo vyuo ingeweza kuwa more effectively kutatua tatizo kuliko kuwaweka ndaniNa kwa nini wawekwe chini ya ulinzi??
Nani kasema wamevunja sheria? bodi ya usajiri wa vyuo au mahakama ndio zenye uwezo wa kusema hivyo, mkuu wa wilaya hana uwezo huo
Na afisa mhusika alikuwepo Dr. Joefrey Oleke. Busara ingeelekeza wakakae wayaweke sawa. Ujue changamoto za wananchi principally zinatakiwa zimalizwe na serikali (wapokea kodi) na wananchi (walipa kodi)!No idea, lakini inaonekana ni kutumia vibaya madaraka kwa hawa watu, nafikiri simu moja kwenye bodi ya usajiri wa hivyo vyuo ingeweza kuwa more effectively kutatua tatizo kuliko kuwaweka ndani
Sheria ipi? Chombo gani kimethibitisha? Mashahidi ni kina nani?? Kesi namba ngapi??
Kwaiyo unataka kusema hayo mapungufu aliyoyaelezea mkuu wa wilaya ni ya uongo?Sheria ipi? Chombo gani kimethibitisha? Mashahidi ni kina nani?? Kesi namba ngapi??
Usiwe much know kwenye vitu husivovifahamu vizuri ama kwenye ukandamizaji wa haki!
Wakipelekwa ndani ndo mapungufu watayamaliza?Kwaiyo unataka kusema hayo mapungufu aliyoyaelezea mkuu wa wilaya ni ya uongo?
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Hao sio change makers kama ulivyowabatiza wewe ila ni wahuni wanaojipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.Wakipelekwa ndani ndo mapungufu watayamaliza?
Think big mkuu... Wabunifu - change makers ni watu wa kukaa nao chini, kuwasikiliza na kuwasaidia kutatua changamoto zao kama zipo!
Jaribu kuvaa viatu vyao... Think big!