Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Unataka utuchangishe rambirambi, mijizi nyie CCM
 
BBC Wamezingua, media kubwa kama hyo inaandika kwa lugha ya kihuni? Inamaana hamna Editor wala Proofreader.

RIP Man Of God.
 
Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Mungu anisamehe tu.michungaji local local isiyo na shule inaniudhi
Elisha aligonvwa na gari akanyakuliwa na kumwachia roho yake eliya?
Mussa aliugua ndo akafa?
Ulitaka agongwe na gari au augue Au afanyeje?
Acha kusikiliza makelele kwenye majukwaa soma biblia yako.

Utaskia ooh kifo cha ghafla sio mipango ya mungu nakatlia mbali roho ya kifo kwenye maisha yako..
Ila walokole mjue tu kuna aina za vifo,hata kwa masihi(anointed)

Angeumwa hapa mngeanza mbona kaombea wengi ye kafa

Mnatakaje?
 

Jana jioni T. B Joshua alikuwa Live kupitia Emmanuel TV wakati akikutana na Emmanuel TV partner kutoka Nigeria na nchi za jirani. Kabla ya kuanza maombezi kwa VIEWRS na partners walioshiriki pale alifanya mahojiaano na watu kama wawili au watatu ghafla matangazo LIVE yalikatizwa na hakurudi tena hadi asubuhi hii tunapoambiwa amefariki. Ni dhahiri wale Partners waliokuwa pale wameona kila kitu na wanaweza kueleleza kila kitu kilichotokea kama wakipenda.

Ahsante
 
Niko live kwenye emmanuel tv hakuna updates juu ya kifo chochote!!... emu tuacheni kuzusha haya mambo.
nimengalia pia sehemu nyingi kama CNNna Al jazeera sijaona.
Kumbuka hata cha MAgu walikanusha vibaya sana, Afrika tuna aina yetu ya Uchawi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…