Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

May he burn in hell fire forever sex maniac, gospel manipulator a.k.a macho ku mchuzi, and Chief de virginizer
 
Mimi siabudu Mtu ,Namwabudu Mungu wa Israel kupitia mwanaye Yesu kristo na Roho mtakatifu anayeugua na kutuombea.
Wewe endelea kuabudu mabeberu(warumi) na umewapa utakatifu
Hapana. Mimi huko kwenye kubusu msalaba sipo. Nipo pamoja na wewe mkuu.
JamiiForums-1791187372.jpeg
 
Huyu jamaa nasikia kafa,ila kama kuna kitu kimenichekesha leo ni hii picha. Hiki kilikuwa kituko cha Mwaka.

Hata ukimcheki Mbowe vizuri,utagundua ni kama anamchora mtumishi wa bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
chadema_in_blood_1622964313151704.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa fikra zangu hapo alikuwa anamaanisha kuwa wakati wa kurudi nyumbani baada ya huduma ni kurudi nyumbani kwake maana hapo ni kanisani ni eneo lake la kazi. So point hiyo sijaikubali mkuu hebu tafuta ushahidj mwingine kuwa alijitabiria kifo.
Mambo ya kiroho ni mapana mkuu.ukiyaangalia katika hali ya kibindamu hutaelewa
Huenda alichotamka ndo kilichofuatia spiritually
 
Nimeumia sijui kwa Nini Mungu hufanya Mambo haya kwa macho yetu kibinadamu watoto ,watu wema na Wenye mchango muhimu na msaada kwa wanadamu wanatangulia mapema.
T.B Joshua alikuwa zaidi muhubiri, Mungu alimtumia kufanya miujiza, aliwajali mayatima , wajane na wahitaji. " Look out there the needs around you...."
RIP TB Joshua[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1616]
 
Hapana. Mimi huko kwenye kubusu msalaba sipo. Nipo pamoja na wewe mkuu. View attachment 1810010
Sasa kumbe tupo pamoja, tunatofautiana tu tafsiri, hongera kwa kujitambua;
Mungu fundi sana, watu wamesoma elimu ya dunia wanataka kuitumia kutafsiri maandiko, lakini watu wa Mungu wanafunuliwa kupitia roho mtakatifu, amefanya hekima yao wenye hekima kuwa UPUMBAV, ndio haya unaona mtu anabusu msalaba wa Yesu [SANAMU] wakati Yesu alikufa na siku ya tatu alifufuka, kaburi li WAzi.
 
Mambo ya kiroho ni mapana mkuu.ukiyaangalia katika hali ya kibindamu hutaelewa
Huenda alichotamka ndo kilichofuatia spiritually
Uko sahihi mkuu, lakini hata kama ni kiroho hiyo hoja ni dhaifu sana.
Nikupe mfano wa mtu kujitabiria kifo ni kama TB yeye angewaambia kuwa nahisi muda wa kuonana nanyi umekwisha hamtaniona tena, hapo ni kauli tata so angekufa tungesema alijitabiria kifo lakini mtu kusema tu narudi nyumbani na hapo alipo sio nyumbani kwake yupo kanisani ambako ni kazini kwake, hapo huwezi kusema kuwa alijitabiria kifo.
 
Kwa fikra zangu hapo alikuwa anamaanisha kuwa wakati wa kurudi nyumbani baada ya huduma ni kurudi nyumbani kwake maana hapo ni kanisani ni eneo lake la kazi. So point hiyo sijaikubali mkuu hebu tafuta ushahidj mwingine kuwa alijitabiria kifo.
Siyo mimi ninayesema hivyo, bali aliokuwa nao kikaoni jana. Hakumaanisha nyumbani kwake, bali nyumbani mbinguni kwa kila aaminiye na kuokolewa.

Hapa duniani tupo kwa ajili ya huduma tu kwa muda mfupi. Makao yetu ni mbinguni tunakorudi baada ya huduma. Kuishi hapa duniani ni kwa ajili ya Kristo, kifo ni faida ya kwenda kuwa na Bwana Yesu milele!
 
Back
Top Bottom