technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nabii nao kumbe wanakufaga
R.I.P
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaabudu wapi? Pale Upanga kwa yule Mnyakyusa? Nataka nije siku moja.hakuna aliye muabudu sema ile dini kubwa duniani inachukua sana haya makanisa ya kiroho ynayofuata bublia na kuomba kupitia Yesu na Roho mtakatifu badala ya Maria
HakikaMungu amuhifadhi anapostahili........
Kifo ni ukumbusho wa utukufu wa matendo makuu ya Mungu.....
Mwanadamu hapaswi kuishi kwa kukiogopa kifo bali anapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo( kwa wanaoamini)
Tuishi kwa wema ili tutakapo nyakuliwa waliobakia wawe mashahidi wa matendo yetu kwani hakuna ajuaye saa ya yeye kunyakuliwa.........
Kila njia ya mtu ni sawa machoni mwake mwenyewe lakini bwana hutazama mioyo......
Mungu atujaalie mwisho mwema..........
maliza JEURI yako hapa hapa, Ukifa huna ujanja, kwanza ukifa tu, hulali tena ktk jumba lako la kifahari tunakupeleka mochwari, kisha kaburini, hapo tu jeuri huna,Kwan mbinguni siwezi leta jeuri?
Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Kwan kifo kina taarifa???Jamaa kafa ghafla sn.kulikoni?
SIO kweli. Kifo kinakuja kwa staili usiyodhani Bila kujali utakatifu au udhambi wa mtu. Kuwa makini USIHUKUMU KWANI HII NI KAZI YA MUNGU TU.Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
DuhNgoja akajionee mwenyewe.
Msemaji wa mbinguni..Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Huenda ikawa ni fake news ,nigerians news hakuna hii taarifa imeanzia ghana
Mimi siabudu Mtu ,Namwabudu Mungu wa Israel kupitia mwanaye Yesu kristo na Roho mtakatifu anayeugua na kutuombea.Wewe unaabudu wapi? Pale Upanga kwa yule Mnyakyusa? Nataka nije siku moja.