Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
LabdaMillard atakuwa bado yuko kanisani labda ndo maana hajapost.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LabdaMillard atakuwa bado yuko kanisani labda ndo maana hajapost.
Huyo tapeli mwingine,aliwalipisha watu dola 500 kila mmoja awaombee,nikawepo kwenye ukumbi nilikua nadeliver tu chakula.Hapana yule Bushiri
Jamiiforums imepost kwenye pages zake, ina maana imekurupuka?Nasikia uzushi
Jamii forums haikurupuki Taarifa za kweliJamiiforums imepost kwenye pages zake, ina maana imekurupuka?
Labda
Kifo hakina formula kwa kila binadamu mzee.Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.View attachment 1809923
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
Pia soma;
1).Nabii TB Joshua awasili nchini, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli
View attachment 1809833
=====
BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world.
![]()
Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family sources told Peoples Gazette.
Mr Joshua, the founder of The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), died in Lagos on Saturday evening shortly after concluding a programme at his church, The Gazette learnt from family sources who did not want to be quoted as an official statement was still being prepared. He was 57.
The cause of death was not immediately disclosed to The Gazette, but family sources said his remains had been deposited at the morgue and an autopsy would be performed forthwith.
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Emmanuel TV, run by Mr Joshua’s SCOAN, is one of Nigeria’s largest Christian broadcast stations, available worldwide via digital and terrestrial switches.
In 2014, his church was at the centre of a multi-national investigation following a section of his church headquarters in Lagos collapsed, leaving dozens killed and many more injured.
Mr Joshua denied allegations of negligence and a trial over the incident was still underway prior to his demise.
Source: BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead - Peoples Gazette
acha upagani wewe, soma habari za mitume na manabii, ilikuwaje?Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Mbona wakina Herode waliuawa unazungumza nini MkuuKaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
hakuna aliye muabudu sema ile dini kubwa duniani inachukua sana haya makanisa ya kiroho ynayofuata bublia na kuomba kupitia Yesu na Roho mtakatifu badala ya MariaALIWAFANYA WATU MISUKULE SANA. BADALA YA KUMUABUDU MUNGU WA KWELI NA YESU ALIYEMTUMA WAKAWA WANAMUABUDU YEYE (TB JOSHUA), MAFUTA, MAJI, TISHETI NA STIKA ZAKE.
Alazwe anapostahili.
HOSEA 4:6, "WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA".
Tusome Neno la Mungu (Biblia) maarifa yote yapo humo.
una akili sana, Mungu wa Israel hapangiwi,.Apumzike anapostahili
na mapadri na mashehe pia ama wachungaji peke yake?Kama hakuna sababu rasmi ya kifo chake basi ndo nitaamini kuwa ule msemo wa "wachungaji wengi wanajificha kwenye nguvu za giza kutuaminisha kuwa wana maono"
Nashukuru kunijulisha kirefu cha majina ya vifupisho T.B.Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua