Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Nilitegemea CCN/BBC watangaze habari za kifo cha TB Joshua (kama ni kweli). Wala sijaona matangazo kuhusu hilo, tangu saa 11 asubuhi naangalia CNN na BBC! Kweli wazungu wana dharau. Kifo cha TB Joshua is not news to them!
BBC wameishatangaza kwenye website yao (www.bbc.co.uk)
 
Rest in peace the most legendary prophet , you have fought a good fight and you have kept the faith , we'll dealrly miss you sir
 
Rest in peace the most legendary prophet , you have fought a good fight and you have kept the faith , we'll dealrly miss you sir
Hii ID yako ni moja ya majina ya Mungu,
Kama ndo hilo lilikuinspire kudos kwako
 
Sasa waumini wake wataongozwa na nani,ama ndio waumini wake watahama kanisa..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…