harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Hamba kahle Joshua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata jwenyw page ya BBC imetangazwa, so its true[emoji24][emoji24][emoji24]Inawezekana ikawa kweli SABC News ya SA imetangaza.
Pole best kila nafasi itaonja mauti. Ni muda Tu kila mja ana wake.Hata jwenyw page ya BBC imetangazwa, so its true[emoji24][emoji24][emoji24]
Kweliafrika tuna shida sana. tunapenda sana kujadili mambo ya kipuuz. angalia jinsi huu uzi unavotembea.
Uko wapi nije turarue nguo zetu na tusujudu mpaka ardhi?Hata jwenyw page ya BBC imetangazwa, so its true[emoji24][emoji24][emoji24]
Kifo cha Dr Myles Munroe kilinishtua sana, tena sana! Niliwahi kumwandikia barua naye akaniandikia. Hadi leo nina barua yake kwangu na nasoma sana vitabu vyakeMyles monroe na fanuel zedekia ,chibalonza ilikuwaje?
BBC wameishatangaza kwenye website yao (www.bbc.co.uk)Nilitegemea CCN/BBC watangaze habari za kifo cha TB Joshua (kama ni kweli). Wala sijaona matangazo kuhusu hilo, tangu saa 11 asubuhi naangalia CNN na BBC! Kweli wazungu wana dharau. Kifo cha TB Joshua is not news to them!
Rest in peace the most legendary prophet , you have fought a good fight and you have kept the faith , we'll dealrly miss you sirT. B. Joshua
Nigerian pastor
Description
Description
Temitope Balogun Joshua commonly referred to as T. B. Joshua, was a Nigerian charismatic pastor, televangelist and philanthropist. He was the leader and founder of The Synagogue, Church of All Nations, a Christian megachurch that runs the Emmanuel TV television station from Lagos. Wikipedia
Born: June 12, 1963, Ondo, Nigeria
Died: June 5, 2021
Spouse: Evelyn Joshua (m. 1990)
Net worth: US$10-15 million (Forbes, 2011)
Children: Serah Joshua, Promise Joshua
Pia mapema alfajiri ya leo walikuwa wa kwanza kutoa kwenye BBC Pidgin, lugha ambayo inachanganya Kiingereza na lahaja ya Kinigeria
😕😕😕Rest in peace the most legendary prophet , you have fought a good fight and you have kept the faith , we'll dealrly miss you sir
Hii ID yako ni moja ya majina ya Mungu,Rest in peace the most legendary prophet , you have fought a good fight and you have kept the faith , we'll dealrly miss you sir
Wapo wengi aliokuwa akihudumu pamoja nao akiwemo Prophet RacineSasa waumini wake wataongozwa na nani,ama ndio waumini wake watahama kanisa..........
Alipofariki mch. Getrude Rwakatare watu waliuliza Nani ataongoza kanisa lake ! Lakini leo wana uongozi kama itakavyokuwa kwaSasa waumini wake wataongozwa na nani,ama ndio waumini wake watahama kanisa..........