Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Mhubiri wa kimataifa wa Nigeria, TB Joshua amefariki dunia leo. Kwa mjibu wa tovuti ya BBC news, mtumishi huyo wa Mungu amefariki muda mfupi baadae ya kuiendesha huduma ya neno la Mungu kanisani kwake. Chanzo Cha kifo hakijatajwa, bali kwa mjibu wa taarifa, inaripotiwa kifo chake kimeripotiwa kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye wafuasi wengi zaidi, ulisema Bwana ametwaa mtu wake. TB Joshua amefariki akiwa na miaka 57. (Source:BBC.com)
 
 
Kwani huyu jamaa alikuwa anafufua wafu inakuwaje yeye kashindwa kujifufua au akaambiwa Gwaji boy akamfufua au waumini wake hawamtaki tena
 
Kazi ya bure wamechukua mtu wao
 
Kuna mtumishi mnyenyekevu na so powerful annointed kama huyu?
 
Anaendelea na shughuli zake kama kawaida na tena anawasalimia sana.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…