humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Pumzika kwa amani T.B Joshua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hapangiwi namna ya kumnyakua mtumishi wake. Mnaweza kuwa wawili ghafla mmoja ananyakuliwa ! Mengine sio ya level zetu... Mungu ni mkuu sana , mawazo yetu kwake upuuzi tu !Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Mhubiri wa kimataifa wa Nigeria, TB Joshua amefariki dunia leo. Kwa mjibu wa tovuti ya BBC news, mtumishi huyo wa Mungu amefariki muda mfupi baadae ya kuiendesha huduma ya neno la Mungu kanisani kwake. Chanzo Cha kifo hakijatajwa, bali kwa mjibu wa taarifa, inaripotiwa kifo chake kimeripotiwa kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye wafuasi wengi zaidi, ulisema Bwana ametwaa mtu wake. TB Joshua amefariki akiwa na miaka 57. (Source:BBC.com)
Tofautisha kufa na kulala
Huyu kalala
Kafamwendazake?
Kazi ya bure wamechukua mtu waoMhubiri wa kimataifa wa Nigeria, TB Joshua amefariki dunia leo. Kwa mjibu wa tovuti ya BBC news, mtumishi huyo wa Mungu amefariki muda mfupi baadae ya kuiendesha huduma ya neno la Mungu kanisani kwake. Chanzo Cha kifo hakijatajwa, bali kwa mjibu wa taarifa, inaripotiwa kifo chake kimeripotiwa kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye wafuasi wengi zaidi, ulisema Bwana ametwaa mtu wake. TB Joshua amefariki akiwa na miaka 57. (Source:BBC.com)
Mkuu hakuwa anafufua, ila alikuwa anafinya.Ajifufue sasa
Kuna mtumishi mnyenyekevu na so powerful annointed kama huyu?R.I.P [emoji24][emoji24][emoji24]jamaa alitoka kuhubiri neno la mungu baada ya hapo akafa....what wonderful death[emoji24][emoji24][emoji24]kifo kizuri sana hicho mwisho wake umekua nzuri sana.......wengine wanafia bar na guest lakini yeye amekufa katika njia ya kuhubiri neno la mungu[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
R.i.p dady[emoji1317][emoji1317]
Hata Yesu walimkejeri hivyohivyo unavyomkejeri Prophet TB Joshua! Huna jipya! Pumzika kwa amani TB Joshua mtumishi wa Mungu Aliyehai!Ajifufue sasa
Umejuaje?Tofautisha kufa na kulala
Huyu kalala