Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Mhubiri wa kimataifa wa Nigeria, TB Joshua amefariki dunia leo. Kwa mjibu wa tovuti ya BBC news, mtumishi huyo wa Mungu amefariki muda mfupi baadae ya kuiendesha huduma ya neno la Mungu kanisani kwake. Chanzo Cha kifo hakijatajwa, bali kwa mjibu wa taarifa, inaripotiwa kifo chake kimeripotiwa kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye wafuasi wengi zaidi, ulisema Bwana ametwaa mtu wake. TB Joshua amefariki akiwa na miaka 57. (Source:BBC.com)
 
Kwani huyu jamaa alikuwa anafufua wafu inakuwaje yeye kashindwa kujifufua au akaambiwa Gwaji boy akamfufua au waumini wake hawamtaki tena
 
Mhubiri wa kimataifa wa Nigeria, TB Joshua amefariki dunia leo. Kwa mjibu wa tovuti ya BBC news, mtumishi huyo wa Mungu amefariki muda mfupi baadae ya kuiendesha huduma ya neno la Mungu kanisani kwake. Chanzo Cha kifo hakijatajwa, bali kwa mjibu wa taarifa, inaripotiwa kifo chake kimeripotiwa kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye wafuasi wengi zaidi, ulisema Bwana ametwaa mtu wake. TB Joshua amefariki akiwa na miaka 57. (Source:BBC.com)
Kazi ya bure wamechukua mtu wao
 
R.I.P [emoji24][emoji24][emoji24]jamaa alitoka kuhubiri neno la mungu baada ya hapo akafa....what wonderful death[emoji24][emoji24][emoji24]kifo kizuri sana hicho mwisho wake umekua nzuri sana.......wengine wanafia bar na guest lakini yeye amekufa katika njia ya kuhubiri neno la mungu[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

R.i.p dady[emoji1317][emoji1317]
Kuna mtumishi mnyenyekevu na so powerful annointed kama huyu?
 
Back
Top Bottom