Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Kifo hakichagui kipo kimeumbwa na kifo kipoo...ktk ardhi kila nafsi itaonja umauti!
Waliokua wanaabudu Mungu bado yupo lakini walokua wanamuabudu Joshua amekufa.
 
Hivi huyu Tb Joshua ni yule wa forex au
 
Ameumaliza mwendo, bado Mimi na wewe![emoji22][emoji22]
 
Mwenyeezi Mungu atamuweka anapostahili
 
Apumzike kwa AMANI

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Alitabiri kifo cha Michael Jackson, akatabiri tena atakayekuwa rais wa Tanzania mwaka 2015.
Ajabu kashindwa kujitabiria yeye mwenyewe au kumtabiria kifo jiwe.
Kwa aina ya kifo cha ghafla kilichomtokea inawezekana kachukuliwa na Lucifer na sio Mungu. Amekufaje ghafla kama sio mtumishi wa Mungu. Kafariki kama mfanyabiashara hivi maana hao ndio vifo vyao kulipia makafara yao.

Haya sio maneno yangu jamani, nilikaa huko kwenye kijiwe cha kahawa mzee fulani ndio akawa anadadavua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…