Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
😂😂😂 Ndio mkuu. Mimi huwa nachungulia kwa Millard kuhakikiKwani habari ili iwe ni ya kweli ni lazima ipostiwe na Millard ayo ndio iwe uthibitisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Ndio mkuu. Mimi huwa nachungulia kwa Millard kuhakikiKwani habari ili iwe ni ya kweli ni lazima ipostiwe na Millard ayo ndio iwe uthibitisho?
Basi ni kweli sio tetesi tenaSi mwenyewe kasema ni tetesi
Hapana yule BushiriHivi huyu Tb Joshua ni yule wa forex au
Mwenyeezi Mungu atamuweka anapostahiliView attachment 1809923
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
Pia soma;
1).Nabii TB Joshua awasili nchini, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli
View attachment 1809833
=====
BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world.
![]()
Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family sources told Peoples Gazette.
Mr Joshua, the founder of The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), died in Lagos on Saturday evening shortly after concluding a programme at his church, The Gazette learnt from family sources who did not want to be quoted as an official statement was still being prepared. He was 57.
The cause of death was not immediately disclosed to The Gazette, but family sources said his remains had been deposited at the morgue and an autopsy would be performed forthwith.
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Emmanuel TV, run by Mr Joshua’s SCOAN, is one of Nigeria’s largest Christian broadcast stations, available worldwide via digital and terrestrial switches.
In 2014, his church was at the centre of a multi-national investigation following a section of his church headquarters in Lagos collapsed, leaving dozens killed and many more injured.
Mr Joshua denied allegations of negligence and a trial over the incident was still underway prior to his demise.
Source: BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead - Peoples Gazette
Hii picha inaonyesha alikuwa ana shida ya afya huyu
😂😂😂 Ndio mkuu. Mimi huwa nachungulia kwa Millard kuhakiki
Apumzike kwa AMANIView attachment 1809923

Kumbe umeona kitu...hii picha inaongea mengi ,nilidhani nimeona vibayaHii picha inaonyesha alikuwa ana shida ya afya huyu
Bwana awafariji wote, kama alilala upande wa Kristo tutaonana asubuhi ile njema