Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Hapana yule Bushiri
Huyo tapeli mwingine,aliwalipisha watu dola 500 kila mmoja awaombee,nikawepo kwenye ukumbi nilikua nadeliver tu chakula.
Nikapita mbele niombewe hata yeye alistuka,
Mzee ngangari Kweli,
Sijui kaleta mafuta ya upako,nikanyanganya kibakuli kuyaonja ni oliver oil ya kawaida tu.
Hapo nakwambia kuna watu kama 10 wameanguka wakiombewa.
Nikacheka sana nikaondoka.
 
ALIWAFANYA WATU MISUKULE SANA. BADALA YA KUMUABUDU MUNGU WA KWELI NA YESU ALIYEMTUMA WAKAWA WANAMUABUDU YEYE (TB JOSHUA), MAFUTA, MAJI, TISHETI NA STIKA ZAKE.

Alazwe anapostahili.

HOSEA 4:6, "WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA".
Tusome Neno la Mungu (Biblia) maarifa yote yapo humo.
 
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.
Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
 
hakuna aliye muabudu sema ile dini kubwa duniani inachukua sana haya makanisa ya kiroho ynayofuata bublia na kuomba kupitia Yesu na Roho mtakatifu badala ya Maria
 
Kama hakuna sababu rasmi ya kifo chake basi ndo nitaamini kuwa ule msemo wa "wachungaji wengi wanajificha kwenye nguvu za giza kutuaminisha kuwa wana maono"
na mapadri na mashehe pia ama wachungaji peke yake?
 
Mhubiri wa Kimataifa kutoka Nchini #Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57

Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma katika Kanisa lake Jijini Lagos

Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…