Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Akina nani waliompa?. Si ulimwengu wa roho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma namba hiyo acha Ukuda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amevipiga vita vilivyo vizuri , mwendo ameumaliza imani ameilinda.ALIWAFANYA WATU MISUKULE SANA. BADALA YA KUMUABUDU MUNGU WA KWELI NA YESU ALIYEMTUMA WAKAWA WANAMUABUDU YEYE (TB JOSHUA), MAFUTA, MAJI, TISHETI NA STIKA ZAKE.
Alazwe anapostahili.
HOSEA 4:6, "WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA".
Tusome Neno la Mungu (Biblia) maarifa yote yapo humo.
View attachment 1809923
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
Pia soma;
1). Nabii TB Joshua awasili nchini, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli
View attachment 1809833
=====
BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world.
![]()
Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family sources told Peoples Gazette.
Mr Joshua, the founder of The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), died in Lagos on Saturday evening shortly after concluding a programme at his church, The Gazette learnt from family sources who did not want to be quoted as an official statement was still being prepared. He was 57.
The cause of death was not immediately disclosed to The Gazette, but family sources said his remains had been deposited at the morgue and an autopsy would be performed forthwith.
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Emmanuel TV, run by Mr Joshua’s SCOAN, is one of Nigeria’s largest Christian broadcast stations, available worldwide via digital and terrestrial switches.
In 2014, his church was at the centre of a multi-national investigation following a section of his church headquarters in Lagos collapsed, leaving dozens killed and many more injured.
Mr Joshua denied allegations of negligence and a trial over the incident was still underway prior to his demise.
Source: BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead - Peoples Gazette
Tapeli kama matapeli wengine wa dini.Hana lolote huyo ulimwenguni
Kwa nini unataka Wamarekani na Waingereza watangaze kifo cha M Nigeria?Nilitegemea CCN/BBC watangaze habari za kifo cha TB Joshua (kama ni kweli). Wala sijaona matangazo kuhusu hilo, tangu saa 11 asubuhi naangalia CNN na BBC! Kweli wazungu wana dharau. Kifo cha TB Joshua is not news to them!
Utapaa wewe mtakatifu badala yake.Nilizani ata paa kama elia
Usihukumu ili usije ukahukumiwa Mathayo1:7Binfsi simhesabu Tb Joshua kama nabii wa KWELI wa MUNGU. Tb Joshua alikuwa nabii wa uongo, na kipimo cha kumpima Nabii yoyote yule ni NENO LA MUNGU.
Lakini vyovyote vile iwavyo, kama alihubiri Injili kwa husuda, kwa kujipatia faida au kwa kupotosha, hiyo ni juu yake yeye, muhimu ni kwamba jina la BWANA NA MWOKOZI WETU, YESU KRISTO, limetangazwa duniani.
Hukumu tunamwachia MUNGU.
Kwani mwenyewe TB Joshua amesemaje kuhusu kifo ? Msikilize kwenye video hii !View attachment 1809923
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
Pia soma;
1). Nabii TB Joshua awasili nchini, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli
View attachment 1809833
=====
BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world.
![]()
Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family sources told Peoples Gazette.
Mr Joshua, the founder of The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), died in Lagos on Saturday evening shortly after concluding a programme at his church, The Gazette learnt from family sources who did not want to be quoted as an official statement was still being prepared. He was 57.
The cause of death was not immediately disclosed to The Gazette, but family sources said his remains had been deposited at the morgue and an autopsy would be performed forthwith.
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Emmanuel TV, run by Mr Joshua’s SCOAN, is one of Nigeria’s largest Christian broadcast stations, available worldwide via digital and terrestrial switches.
In 2014, his church was at the centre of a multi-national investigation following a section of his church headquarters in Lagos collapsed, leaving dozens killed and many more injured.
Mr Joshua denied allegations of negligence and a trial over the incident was still underway prior to his demise.
Source: BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead - Peoples Gazette
Wepesi wa nini kufa kufa tu.Kuna tetesi kuwa jamaa kavuta kama kweli tunaomba tu Mungu awape wepesi waumini na familia yake
Unaelewa maana ya neno, "kuhukumu"?Usihukumu ili usije ukahukumiwa Mathayo1:7