Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Utakuta Kintinku huko eti anazimia kwa kifo Cha mnaijeria lkn Wala hasikitiki kupotea kupotea kwa gwanda na Saanane . Rip

Saanane na alie na wake na TIB alie na wake pia na wewe utalia na wako pia, ya kikufika ulize Dunia!! No
 
Utakuta Kintinku huko eti anazimia kwa kifo Cha mnaijeria lkn Wala hasikitiki kupotea kupotea kwa gwanda na Saanane . Rip
Hao wote ulio wataja mna wa overate tu hawana uzito wowote kwa taifa..zaidi ya kuimba taarabu mtandaoni
 
Atakubukwa kwa mahubiri yake, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake liimidiwe..
Screenshot_2021-06-06-12-50-50.jpg
 
Alitabiri kifo cha Michael Jackson, akatabiri tena atakayekuwa rais wa Tanzania mwaka 2015.
Ajabu kashindwa kujitabiria yeye mwenyewe au kumtabiria kifo jiwe.
Kwa aina ya kifo cha ghafla kilichomtokea inawezekana kachukuliwa na Lucifer na sio Mungu. Amekufaje ghafla kama sio mtumishi wa Mungu. Kafariki kama mfanyabiashara hivi maana hao ndio vifo vyao kulipia makafara yao.

Haya sio maneno yangu jamani, nilikaa huko kwenye kijiwe cha kahawa mzee fulani ndio akawa anadadavua.

Alitabiri Lowasa kuwa Raisi wa tano Tanzania
 
Nasikiliza BBC World Service wametangaza sasa hivi.
 
 
Ukiona hivyo ujue
BBC Wamezingua, media kubwa kama hyo inaandika kwa lugha ya kihuni? Inamaana hamna Editor wala Proofreader.

RIP Man Of God.
Ukiona hivyo fahamu kuwa taarifa ni uongo. BBC hawawezi kuripoti kiholela kama hvyo.
 
Back
Top Bottom