Ninachoma Dollar
Senior Member
- May 29, 2014
- 117
- 134
Oyaaa [emoji15]Afadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaa [emoji15]Afadhari
BBC wanatangaza na kuandika kwa lugha mbalimbali.Sawa ila inasomwa na watu wote duniani kwanini wafanye Pidgin?
Utakuta Kintinku huko eti anazimia kwa kifo Cha mnaijeria lkn Wala hasikitiki kupotea kupotea kwa gwanda na Saanane . Rip
Hao wote ulio wataja mna wa overate tu hawana uzito wowote kwa taifa..zaidi ya kuimba taarabu mtandaoniUtakuta Kintinku huko eti anazimia kwa kifo Cha mnaijeria lkn Wala hasikitiki kupotea kupotea kwa gwanda na Saanane . Rip
Alitabiri kifo cha Michael Jackson, akatabiri tena atakayekuwa rais wa Tanzania mwaka 2015.
Ajabu kashindwa kujitabiria yeye mwenyewe au kumtabiria kifo jiwe.
Kwa aina ya kifo cha ghafla kilichomtokea inawezekana kachukuliwa na Lucifer na sio Mungu. Amekufaje ghafla kama sio mtumishi wa Mungu. Kafariki kama mfanyabiashara hivi maana hao ndio vifo vyao kulipia makafara yao.
Haya sio maneno yangu jamani, nilikaa huko kwenye kijiwe cha kahawa mzee fulani ndio akawa anadadavua.
Yes umenikumbusha sahihi mkuuAlitabiri Lowasa kuwa Raisi wa tano Tanzania
Nasikiliza BBC World Service wametangaza sasa hivi.BBC wanatangaza na kuandika kwa lugha mbalimbali.
kumbe mungu anawatu wake?!Amkuu mbona unapotosha ,hebu tuambie ni wapi katika maandiko imeandikwa watumishi wa mungu kamwe hatakufa ghafla,Tena nikuambie vifo vya watu wa mungu huwa havina mlolongo mrefu.
Kwani mwenyewe TB Joshua amesemaje kuhusu kifo ? Msikilize kwenye video hii !
Tapeli kama matapeli wengine wa dini.
Ukiona hivyo fahamu kuwa taarifa ni uongo. BBC hawawezi kuripoti kiholela kama hvyo.BBC Wamezingua, media kubwa kama hyo inaandika kwa lugha ya kihuni? Inamaana hamna Editor wala Proofreader.
RIP Man Of God.