Temporary: ugonjwa umenikaba mtu anikope 10,000 ninunue dawa nitamrudishia

Sea Beast

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
2,212
Reaction score
4,808
Habari, wadau leo sipo sawa ninaumwa vibaya alafu Sina pesa kabisa nimejipoza na vipanado nk ila wapi ninahofia zaidi usiku

Naomba mtu anikope 10,000 tu niande pharmacy chap nitamrejeshea few days nikipokea vipesa kwenye mishe zangu uhakika, dharula sijajiandaa.

NB: Moderator uzi huu utatuta muda mchache nikifanikisha Moderator Wand
 
Nilitaka nikusaidie zaidi ya kiasi hicho,...tatizo Mimi niko upande wa Ufalme wa Mungu , wakati wewe uko upande wa Ufalme wa Baharini ( underWorld)

Kwani huwezi kuongea na chama lako wakakusaidia chap kwà haraka? Ma B na ma B yakatoka chini ya bahari wakakuletea hapo ulipo?

Au una lengo la kututega sisi Wana wa Mungu , tukuhurumie tukupe halafu utufilisi kabisa!! Aah sio kweli bhana!!
 
Kwa mara ya kwanza nilivyosoma heading nimeguswa JF nikataka nikutumie.

Lakini nilivyofungua.....uandishi wako, na namba hujaweka vimeleta Mashaka.

Hata hivyo, pole mkuu, Mungu akafanikishe mioyo ya watu iguswe wakutumie.

Pole na kuumwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu kwa visingizio daah
 
Nilitaka nikusaidie zaidi ya kiasi hicho,...tatizo Mimi niko upande wa Ufalme wa Mungu , wakati wewe uko upande wa Ufalme wa Baharini ( underWorld)

Kwani huwezi kuongea na chama lako wakakusaidia chap kwà haraka? Ma B na ma B yakatoka chini ya bahari wakakuletea hapo ulipo?

Au una lengo la kututega sisi Wana wa Mungu , tukuhurumie tukupe halafu utufilisi kabisa!! Aah sio kweli bhana!!
Hio Movie Bora ningengalia mwaka huu ndio maana nimeiweka Avatar nothing to do with me
 
Kwa mara ya kwanza nilivyosoma heading nimeguswa JF nikataka nikutumie.

Lakini nilivyofungua.....uandishi wako, na namba hujaweka vimeleta Mashaka.

Hata hivyo, pole mkuu, Mungu akafanikishe mioyo ya watu iguswe wakutumie.

Pole na kuumwa.
Nikuoe pm, hii serious ungeona nilivyokaa hapa nikiwa na type
 
Hio Movie Bora ningengalia mwaka huu ndio maana nimeiweka Avatar nothing to do with me
Upo initiated tayari just by watching that evil movie!

You are just a piece of shit!!!, ...you fucking belong there already,

you motherfucker black son of bitch!

You look garbage!!! ( Spit )
 
Habari, wadau leo sipo sawa ninaumwa vibaya alafu Sina pesa kabisa nimejipoza na vipanado nk ila wapi ninahofia zaidi usiku

Naomba mtu anikope 10,000 tu niande pharmacy chap nitamrejeshea few days nikipokea vipesa kwenye mishe zangu uhakika, dharula sijajiandaa.

NB: Moderator uzi huu utatuta muda mchache nikifanikisha Moderator Wand
Duh pole aisee
 
Back
Top Bottom