Uzi ufungwe sasaAsante Sana kwamoyo wako mzee [emoji41][emoji41]
Thanks God It Friday๐๐๐TGIF hiyo [emoji12]
Habari, wadau leo sipo sawa ninaumwa vibaya alafu Sina pesa kabisa nimejipoza na vipanado nk ila wapi ninahofia zaidi usiku
Naomba mtu anikope 10,000 tu niande pharmacy chap nitamrejeshea few days nikipokea vipesa kwenye mishe zangu uhakika, dharula sijajiandaa.
NB: Moderator uzi huu utatuta muda mchache nikifanikisha Moderator Wand