Zimetengana kwa muda mrefu.When It started Korea was 1.
Ukatafuna mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naipenda krav maga ya Israel nilifundishwa kidogo na jamaa yangu kwenye hotel Haifa Mimi nikiwa foreigner. Nikaja kugundua jamaa ni shoga
Mkuu hii michezo yote ni mizuri kama unapenda martial arts, na kinachomfanya mtu ana kuwa mzuri katika style yake ni "seriousness" bidii... Choice ya style ni nzuri lakini mzuri zaidi ni mchezaji.... NAZUNGUMZA KUTOKA KATIKA EXPERIENCE YANGU NIMECHEZA NA NINA RANK YA JUU TU.... 😳Yani siku nikisema narudi kwenye martial arts the only mchezo nitajifunza ni shaolin Kung fu nimeshindwa sana basi tai chi. Usiombe ukutane na shaolin kafundishwa na real master wa shaolin
Katika Taekwondo baada ya Black Belt zinaanza Dan ambazo kuzipata Ni Muda ambao upo active baada ya kupata Black Belt, Kucheza Forms "Poomsae" nyingi zaidi na kumaster Taekwondo Philosophy.
Ule upigaji wa Steven Seagar ni style gani mkuu?Aliyeiandika hiyo article naye hajui alichokiwasilisha. Itakuwa anaangalia sana movie. Karate namba 1 mbele ya Kung fu wakati mizizi ya karate imetokea kwenye Kung fu!
Halafu kung fu ni mjumuisho wa style nyingi mno ikiwemo Wing Chun ya master Yip Man ambayo wengi wao wanaizungumzia humu.
Taekwondo ni wazee wa mateke tu hawana lolote. Ninjutsu hawajui ngumi sana wanajua kutumia silaha kwa sana tu.
Ila ukitaka uwe mzuri uchanganye hii michezo.
AIKIDOUle upigaji wa Steven Seagar ni style gani mkuu?
na nimeshangaa michezo ya hatari kabisa kama sambo kali na Systema haiko kwenye orodha ya top tenAliyeiandika hiyo article naye hajui alichokiwasilisha. Itakuwa anaangalia sana movie. Karate namba 1 mbele ya Kung fu wakati mizizi ya karate imetokea kwenye Kung fu!
Halafu kung fu ni mjumuisho wa style nyingi mno ikiwemo Wing Chun ya master Yip Man ambayo wengi wao wanaizungumzia humu.
Taekwondo ni wazee wa mateke tu hawana lolote. Ninjutsu hawajui ngumi sana wanajua kutumia silaha kwa sana tu.
Ila ukitaka uwe mzuri uchanganye hii michezo.
Mimeshapigana na wamajeshi mara 48Safi sana i wish ningekuwepo nione huo mtaange ..huwaga nafurahi nikisikia mwanajeshi kapigwa ..huwa wanaoneaga sana watu sometimes
Hahahaha!Mimeshapigana na wamajeshi mara 48
38 nashinda
9 tunatoka droo
1 hii ndio ilikuwa funga kazi nakumbuka mpaka mkuu wa wilaya wa kigoma mwaka huo simba kalia iliingilia kusuruhisha huo mtanange
Steven Seagal ninachofahamu mimi amejikita zaidi kwenye Aikido.Ule upigaji wa Steven Seagar ni style gani mkuu?
Safi huyo mtu anastahili tuzoHahahaha!
Unanikumubusha jamaa mmoja hostel watu walikuwa wanamchukulia poa! Kuna siku walimtibua zaidi jamaa si akafunguka bhana! Aliwachakaza! Majamaa wakaenda kuita rafiki zao FFU, nao akawachakaza!
Mkuu wa kituo akagundua askari zake wamekula dozi kwa raia. Akawaambia adhebu yenu awe mwalimu wenu. Jamaa akawa anakuja kuchukuliwa na kurudishwa kwa ajili ya kuwafundisha.
Mfano Shorinji (Shaolin) Kempo asili yake ni Shaolin Kung fu kutoka China.Kabisa mkuu
Kwenye kung fu hapo kuna vipengele vingi sana hadi WU-SHU inaingia hapo
Wewe ni Sensei?Safi huyo mtu anastahili tuzo
Mimi mpaka wanajeshi wa 24 kj hawana mchezo na mali zangu na kubwa zaidi wananilipa vijisenti kadhaa ili nisitoe ujuzi wangu kwa raia siunajua waha walivyo wajuaji na wabishi[emoji28]
Wewe ni Sensei?
Shukrani.Nawafahamu maSensei wengi wa kg. Niambie unaishi mtaa gani tu nitakufahamu..
Najua hutaki kuonekana bwana mkubwa ila we ni hatari sana.hapana
Imetajwa hapo Muay Thai - ThailandMimi napenda yale mapigo ya hong bak 2 sijui ni taekwondo au thai martial arts au nini ile, jamaa anapiga mapigo unaona energy ndani ya kila pigo.
Yale ningekuwa ninayaweza ningeenda pale lugalo nikojoe kwenye ile bustani wazee wa mabaka waje kunidunda nitandike kambi nzima.
Muda wake umeisha wathai wengi huanza kama stuntmen kwenye movie za hollywood, kabla ya kuwa ma actor, ila kuna dogo keshachukua nafasi yake sasa.Imetajwa hapo Muay Thai - Thailand
jamaa namkubal yule ong bak jina lake halis ni toni jaa !! Ong bak ni jina la movie jamaa anatandika kijiji kizima mpaka wakamletea jini mtu licha ya kumchana na mikucha na kumpiga lkn walipokuja wanzangu na mm waje wammalizie aliinuka kwa nguvu na kuanza kutembeza kichapo tena
Siku hz hasikiki sn tatizo badala atoe movie zake anashirikishwa ivo jina linaanza kupotea