Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

MOVIE N NDEFU NA NZITO UKISTAAJABU YA ANGELA UTAMWONA ....NYUMA YAKE BAKI NA ANGELA....KAZI N MUNGU TU AMSIMAMIE MH AONE YALIOSIRINI AWAREKEBISHE POLEN SANA
Angela ni mwizi balaa hata Rostam pengine haoni ndani na Siri zimevuja baada ya kula njama za kumdhulumu Said Lugumu, wasingemfitini lugumi haya ya sasa yasingejulikana
 
Atakuwa na watu nyuma sio bure

Navyojua wanawake waoga sana kwenye masuala kama haya,ukichukulia pesa nyingi sana halafu kaenda kupiga jeshi la polisi hayupo pekee yake naamini
Kiongozi wa alikuwa marehemu Yusuf Manji akamweka mbele Said Lugumi na Angela na mhindi wa maduka ya shoppers, lakini sasa Angela na mhindi wamemgeuka Lugumi wapo na mama peke yao ndipo Siri zimevuja
 
Kiongozi wa alikuwa marehemu Yusuf Manji akamweka mbele Said Lugumi na Angela na mhindi wa maduka ya shoppers, lakini sasa Angela na mhindi wamemgeuka Lugumi wapo na mama peke yao ndipo Siri zimevuja
Duh! Huyo mhindi ndio Yusuf Manji?
 
Aisee?!
 
KAZI IENDELEEEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…