Hizi ndio siasa za wahuni walizotumia kumchafua Magufuli exploitation ya watanzania kutopenda kujifunza how things work in different government departments au sehemu ambazo hayati hana maamuzi yake kwenye utendaji na kumtupia lawama za kupikwa kama hizi (ame influence outcome). Waziri wa nishati leo akiwa kinara wa hiyo campaign chafu na genge lake.
Binafsi pamoja ya kuwa sishabikii kabisa siasa za ‘bi tozo’ na genge la wahuni lililomteka sio sahihi kuchafua biashara za watu wengine wanaojiongeza kukuza biashara yao.
Mfumo wa bidding wa uagizaji wa mafuta upo open kushiriki provided unafikia vigezo vilivyowekwa, tender zilizowekwa zipo wazi for competitors to see na winning bid zinakuwa wazi aijalishi alieshinda ni Manji au Rostam wanachoangalia ni lowest bid (value for money).
Ukiielewa bulk procurement ya mafuta uwezi laumu washiriki au mshindi unless unataka kupotosha tu umma na kuchafua biashara za watu.