Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaongea ukweli hata kama utabjshaHuyo utakuta nae ni kijana amechomekea suruali na.ndevu kanyoa salon
Yaani hata haoni kwamba hao anaowapa hiyo mitungi ya majiko ya gesi hawana uwezo wa kuendelea kujaza hiyo mitungi ya gesi kwani bei yake kwa sasa si chini ya Sh 60,000 kwa mwezi kwa familia ya watu wawili. Na nishati hii inaendelea kupanda bei kwa kisingizio cha vita ya Ukraine, ili hali inatoka tu hapa Ntwara.Sasa huyo Taifa gas Distribution Manager ana akili za kuona mbali?
Mi nimekuelewa sanaToo low to understand this brother.
this is very dip.
Kizazi kimebadirika babu zetu wangebeba ideology kama ya huyo dogo tungekuwa bado tunapigwa mboko na.mgerman .Jamaa kaongea ukweli hata kama utabjsha