Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

watu wanapiga kulingana na urefu wa kamba..... Maninaaa
 
Sasa huyo Taifa gas Distribution Manager ana akili za kuona mbali?
Yaani hata haoni kwamba hao anaowapa hiyo mitungi ya majiko ya gesi hawana uwezo wa kuendelea kujaza hiyo mitungi ya gesi kwani bei yake kwa sasa si chini ya Sh 60,000 kwa mwezi kwa familia ya watu wawili. Na nishati hii inaendelea kupanda bei kwa kisingizio cha vita ya Ukraine, ili hali inatoka tu hapa Ntwara.
 
Huyo mtoa habari unaweza ukatusaidia jina lake , namba ya simu na mkoa anaoishi ?
 
Acheni umbea nyie,
Waacheni watu wale,
Mbona kipindi kile kanda flani ilikuwa inakula sana?
Sasa ni zamu ya wengine tulieni basi
 
Hizi ndio siasa za wahuni walizotumia kumchafua Magufuli exploitation ya watanzania kutopenda kujifunza how things work in different government departments au sehemu ambazo hayati hana maamuzi yake kwenye utendaji na kumtupia lawama za kupikwa kama hizi (ame influence outcome). Waziri wa nishati leo akiwa kinara wa hiyo campaign chafu na genge lake.

Binafsi pamoja ya kuwa sishabikii kabisa siasa za ‘bi tozo’ na genge la wahuni lililomteka sio sahihi kuchafua biashara za watu wengine wanaojiongeza kukuza biashara yao.

Mfumo wa bidding wa uagizaji wa mafuta upo open kushiriki provided unafikia vigezo vilivyowekwa, tender zilizowekwa zipo wazi for competitors to see na winning bid zinakuwa wazi aijalishi alieshinda ni Manji au Rostam wanachoangalia ni lowest bid (value for money).

Ukiielewa bulk procurement ya mafuta uwezi laumu washiriki au mshindi unless unataka kupotosha tu umma na kuchafua biashara za watu.
 
Back
Top Bottom