Tendega asema Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi

Kwa maoni yangu, raia wa nchi nyingine akiomba kuwa raia wa TZ ndio kuwe na process ambayo kwanza atakuwa permanent resident kwa miaka labda 5, then ndio anaruhusiwa kuomba uraia.

Lakini kwa raia wa TZ ambae amezaliwa na kukulia TZ, then akatoka kwenda kutafuta maisha nje, waruhusiwe kuwa na uraia pacha iwapo wamechukua uraia wa nchi nyingine.
 
Wasiruhusu uraia pacha.

Waanzishe utaratibu wa permanent residency.

Permanent residents wanakuwa na haki zote lakini hawaruhusiwi kushiriki ktk uchaguzi, na kutumikia ktk taasisi nyeti za serikali.
Ni njia rahisi ya kuhingiza mamumluki wanayodhaminiwa na magenge ya kihalifu. Bora tuendelee kudeal na mamumluki wanaodhaminiwa na nguvu ya "Geneva convention" kwa sababu wanachukua tahadhari sana kwenye shughuli zao kuliko hao wa magege ya kihalifu.
 
Angalia stability ratio ya nchi kwenye maeneo yenye dual citizenship toka zimeanzisha utaratibu huo na ambayo hayana.
 
Ni njia rahisi ya kuhingiza mamumluki wanayodhaminiwa na magenge ya kihalifu. Bora tuendelee kudeal na mamumluki wanaodhaminiwa na nguvu ya "Geneva convention" kwa sababu wanachukua tahadhari sana kwenye shughuli zao kuliko hao wa magege ya kihalifu.
Una evidence yoyote kuthibitisha hiyo theory yako au wewe ndio miongoni mwa watu mnaoishi kwa hofu na sio hope!
 
Kwanini tuendelee kuishi na hofu isiyokuwa na evidence? Wakati umefika wa kuweka hope kwa kufanya yale yaliyohai na yanaonekana wazi. Kama hali ya woga huu haijawahi kujitokeza katika nchi zenye uraia pacha nani katujengea hofu hii na kuwaaminisha watu bila ushahidi?
 
Well said!👍🏽
 
Ukishaanza kuona ndugu zako waliohamia nchi za nje na kupata uraia huko kama wasaliti na vibaraka wa mabeberu, makupe, wanyonyaji, makabaila na wapinga maendeleo lazima utaogopa uwepo wa uraia pacha.
 

.kuna baadhi wanaamini waliochukua uraia huko nje hawana uzalendo na uaminifu kwa Tz. Wanaonekana wasaliti wenye tamaa ya kupenda vya nyumbani na ughaibuni. x

Wote wenye uraia pacha wanakuwa na uzalendo wa kweli na wanataka kuja kujenga na kuwekeza nyumbani.

..pia wanaamini Mtanzani mwenye uraia wa nchi nyingine akipewa uraia wa Tanzania anaweza kuutumia kufanya uhalifu / hujuma dhidi yetu na baadae kukimbilia kwenye nchi iliyompa uraia.x

Tanzania ni mwanachama wa Interpol, kama ni mhalifu wanamtaka watampata tu
Ni watawala wa kimabavu wanaogopa nchi za ulaya, wakikata wanasiasa wenye urai pacha watasumbuliwa na taifa litalomtambua kama raia wake

..wengine wanaamini kwamba Watanzania waliochukua uraia wa nchi nyingine hawana mitaji au uzoefu wa kutosha kiasi cha kulazimisha Tanzania iwarejeshee uraia wao wa awali.x


Utopolo.....

..pia kuna suala la KISIASA ambapo inaaminika Watanzania walioko nje wameegemea zaidi upande wa upinzani kuliko upande wa chama tawala na serikali. Hali hiyo inawapa kigugumizi chama tawala kupitisha sheria itakayoruhusu uraia pacha.


Ujinga unaofanywa na CCM hata mtanzania yeyeto mwenye akili timamu hawezi kukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…