Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Umalaya huharibu akili mkuu
 
Mimi ndio maana nilishaamua kitambo, siwezi ku date Mwanamke ananuka nuka vijasho tu, hana hela, maskini maskini, HAPANA, ataniletea umaskini tu. Kwanza hivyo viarufu vibaya vibaya ndio vimebeba energy mbaya mbaya za shida shida tu, what the hell do you expect, kama sio umaskini.

Wanaume tujiwekee standards za wanawake gani tutoke nao ili tuepuke kuambukizwa umaskini na mabalaa kama hayo mwishowe tunakuwa broke.
 
Mwanaume kujiundergrade ni ujuha mkuu. Standard ziwepo kwa kweli.
 
Unaweza ukawa muaminifu kwa mwenza wako na bado moto ukawaka vile vile cha muhimu tutumie kinga maana bado nina ndoto ya kupanda Tereni ya umeme hapo mwaka 2035.
you GUY daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…