Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Na wengi wao hawana maendeleo yoyote , wanahangaika tuu( pepo ya ngono aka marine spirit)
 
Sasa akili inaachaje kuwa race wakati kila mwanamke anampa changamoto, na waweza kukuta hata kipato chake sicho kinachoweza kumudu mahitaji ya wake wote hao na watoto wake , !?
 
Ukiyaamini hayo makitu lazima yakuvaa ila kama huna time nao hayana effect
 
Kongole Sana mkuu , You said it all [emoji375]
 
Nakuna wengi ukitembea nao unakua harufu ya nyapu demu yoyote akikuona anaanza kuloa chupi ukigusa tu unamfanya matusi bila tatizo lolote
Hii nakubali [emoji457][emoji375]. Ni nature ndio inakuletea hivyo vitu Mambo ya law of attraction hayo , vile unavyo waza na kutenda ndio unavyo kuwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Jamaa alichokisema kina ukweli ndani yake, Tena ukweli mkubwa sana
 
Nakuelewa Sana
 
Tujue kwanza ngono ni nini
Tujue pia mikosi ni nini
Na pia balaa na hizi roho chafu ninini.

Kwa maoni yangu yote yanayoweza kuhusinishwa na ngono nje ya uzazi ni imani tu.

Kwamba ngono inakupa starehe
Kwamba ngono inakupa mikosi
Kwamba ngono inakuunganisha na roho chafu
Kwamba ngono inakupa bahati
Kwamba ngono inakupa balaa
Hizi zote ni imani tu na dhana.

Kitu pekee cha halisi kinachopatikana kwenye ngono ni muendelezo wa uzazi.

Hili la mikosi, bahati mbaya, bahati nzuri, balaa na yasemekanayo ni imani kama zilivyo imani nyingine ambazo vile unavyoamini wewe ni tofauti na mwingine, kama ilivyo huku kwetu tumaini kula nguruwe sio shida lakini kwa wengine ni shida.

Huyu anaekula nguruwe mpaka leo hajashuhudia madhara yatokanayo na kula nguruwe, na yule asiye kula hajapata madhara kwa kutokula kwake nguruwe.

Tunapo husisha ngono na imani zetu ndio tunakuja na majibu ya jumla kwa wote bila ya kudhani kuna wengine wanamtazamo tofauti nawe.
 
Hii nakubali [emoji457][emoji375]. Ni nature ndio inakuletea hivyo vitu Mambo ya law of attraction hayo , vile unavyo waza na kutenda ndio unavyo kuwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]

Duh
 

Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…